Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Simba Sports Club wekundu wa msimbazi wametupwa nje ya klabu bingwa barani Afrika na klabu ya UD SONGO kutoka nchini Msumbiji.

Klabu hiyo kutoka kati kati mwa jiji la Dar Es Salaam iliacha gumzo kubwa kipindi cha dirisha la usajili ikichukua wachezaji kutoka Brazili, Sudani na Congo.

Lakini mungu si Athumani Simba imetupwa nje mapema tu, je unadhani klabu hiyo ilifanya maamuzi sahihi ya usajili au ilikuwa ikikurupuka kufanya usajili kila ilipotimu saa saba mchana ??!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]my ribs
 
Si unaona yaliyotokea Shadeeya? Tatizo Wabongo tumezoe kudanganyana na kusifiana uongo matokeo yake tunajihisi tuna uwezo kuwazidi wengine kumbe tunatakiwa kuongeza jitihada
Na tatizo watu wanapenda zile kauli sukari tu Ses yaani ukiwa mkweli wanakuona mamluki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…