Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Simba itapoteza zaidi
Jezi hazitanunuliwa kwa wingi
Mwekezaji atakatika hela
Wachezaji hawatajituma
Mashabiki hawataenda uwanjani

Dharau mechi ya kwanza zimetuponza bora tungefungwa.

Manura mmmmmh
Yaani mlikuwa mnashangilia wakati game bado.

Wawa hayuko fit,Manula hayuko fit

Ila Si mbaya tutaheshimiana tu
 
Yale machungu ya mwaka 1993 dhidi ya stella de abdijan yamejirudia tena leo ilikuwa hivi hivi bila bila kwao kuja shamba la bibi wakawatoa nishai
 
Back
Top Bottom