Kabisa yule jamaa ni hatari..Kapteni wa UD Songo anapoteza sana muda hapa afrika...
Labda mto ndo mtavuka mtaniTunavuka
Sasa kama huusiki unasubiri nini hapa kwenye thread ya wanaume Simba au mabingwa wa nchi ?Mbona povu kwani mi nahusika na matokeo yenu?
Haahhaaa we jamaa wewe...kwaiyo uzi uende kule kwenye sports au unabaki hapa? Ila ni furaha iliyoje leo.Faida za mtu kufia kwao.
1.Anapunguza gharama za kusafirisha msiba
2.Anapunguza maswali ya chanzo cha kifo chake
3.Anazikwa na watu wengi wa kwao.[emoji419][emoji419]
Poleni sana wanasimba pole Tanzania
Yaani mlikuwa mnashangilia wakati game bado.Simba itapoteza zaidi
Jezi hazitanunuliwa kwa wingi
Mwekezaji atakatika hela
Wachezaji hawatajituma
Mashabiki hawataenda uwanjani
Dharau mechi ya kwanza zimetuponza bora tungefungwa.
Manura mmmmmh
Mkuu mbona umepanic sana,wachukie UD songo utapata tabu sana,mmeo UD songoSasa kama huusiki unasubiri nini hapa kwenye thread ya wanaume Simba au mabingwa wa nchi ?
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Nguvu moja kuelekea wapiSasa kama huusiki unasubiri nini hapa kwenye thread ya wanaume Simba au mabingwa wa nchi ?
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Teh teh teh tehNawapa salam Gadiel Michael na Ibrahim Ajibu kokote walipo.
Sawa na wewe mumeo ni mimiMkuu mbona umepanic sana,wachukie UD songo utapata tabu sana,mmeo UD songo
HahahahaYaah! Na lazima tumtanie azidi kupata machungu. [emoji23][emoji23]
Siyo akili yake mkuuNguvu moja kuelekea wapi
sasa marehemu alipigwa na kudhalilishwa kwanza kabla ya kufa ndo shida sasa.Faida za mtu kufia kwao.
1.Anapunguza gharama za kusafirisha msiba
2.Anapunguza maswali ya chanzo cha kifo chake
3.Anazikwa na watu wengi wa kwao.[emoji419][emoji419]
Poleni sana wanasimba pole Tanzania
Sawa na wewe mumeo ni mimi
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020