Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Nipo ndugu yangu poleni sanaHahaaah mtani upo???
Hongereni aisee, sisi tumeteleza.!
Hahahaa. Hivyo watakomboa Swahiba.
HahahhahahHatuwezi pigwa na wachovu awa
Uzuri wa timu ni matokeo, simba kwa sasa haina mchezaji mwenye akili ya mpira kama OkwiDeo Kanda ni mtu! Okwi hatii mguu pale, tuwe wakweli sema tumetolewa ila timu ni nzuri sana.
Nakubaliana na wewe mkuu ila hakuna sababu ya kukata tamaa, hii timu ikiachwa jinsi ilivyo wachezaji wakizoeana itakuja kufanya maajabu
Nimeona sehemu eti anadai atawajibika kama ipo haja. ππππNamtafuta manala kwanzaa ... anyooshe maelezo πππ
Kama mie Swahiba yaani tumefurahi mfululizo. ππYaaani leo na jana nimefurahi sana
Hii ni sawa na kutonesha kidonda Mkuu yaani chenyewe kibichi kisha unakiweka ndimu. ππππFaida za mtu kufia kwao.
1.Anapunguza gharama za kusafirisha msiba
2.Anapunguza maswali ya chanzo cha kifo chake
3.Anazikwa na watu wengi wa kwao.[emoji419][emoji419]
Poleni sana wanasimba pole Tanzania
Huo ndio mpira, kwani Yanga wamesajili kwa shilingi ngapi, bure.kikosi cha bilion 3 kinaenda kugombania milioni 80 za voda
Mtani sijawahi kuwaza kama mnakuwaga na kauli za kipole namna hii. ππMkuu hii siku imekuwa mbaya sana kwangu, siyo mbaya haikuwa siku yetu.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Kwani Yanga kwa usajili huo hamtacheza na NamungoAcha tu watoke mana walikuwa wanajifananisha na Real Madrid! Usajili wote ule wanakuja kupambana na Namungo, Ndanda........!Asante Mungu.
Hahahaa. Mipango yao ya kufika nusu fainali imegeuka hatua ya awali. Teh teh teh.Kutolewa ndyo sio jambo la kawaida ila je unatolewa hatua gani hyo ndo inakuwa issue. Kwa simba iliyofika robo fainal msimu uliopita kuondoka atua ya awali kabisa ni upuuzi wa kiwango cha lami.
Mtani leo ndio mnaijua hii kauli. LolKwenye mpira hili jambo ni kawaida kabisa.
Mkuu unadhani sisi tuna mbwembwe basi. Yaani tunamfukuza mwizi kimya kimya.Ila na nyie mkimtoa Zesco nitafute nikupe zawadi.Hamchomoki nawaambia....