Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

We are Simba...This is Simba...miaka kumi mfululizo sisi ndio tutakuwa mabingwa....back to back..IGA UFE ...hii ni level nyingine...sisi ndio timu bora tukifuatiwa na Azam..nawachukia mno gongowazi..Kambi yetu ni South Africa na siyo Morogoro ambako wachezaji kambini wanagombea chips na mihogo...tutaanza kuokota mataji kama ngao ya jamii...target yetu mwaka huu ni kufika nusu fainali kwenye michuano ya CAF..
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kosa la benchi la ufundi. Waliotakiwa kuanza leo ni wale walioanza na Azam akiongezeka tu chama na wa kuchukua nafasi ya boko. Sioni sababu yoyote ya kiufundi kumuanzisha gadiel dhidi ya hussein, beki si kuzuia tu bali pia kushambulia kazi inayofanywa vizuri sana na hussein. Kocha amebadilisha winning team bila sababu za msingi maana kama Manula hakuwa na match fitness.
 
Utani pembeni, Simba inawamiss sana Okwi na Kotei.
Msudan ni kawaida sana. Mo Hussein ni bora kuliko Gardiel.
Mkude alishazoea kucheza na holding midfielder mwenzake. Ku adjust awe peke yake itachukua muda.
Uko sahihi!
 
Nimemuona Manara amekakamaa dawa inamuingia
Hayaaaaaa
Screenshot_20190825-203214.jpeg
 
Yes, you are very right! Huwa najiuliza ivi na nchi jirani kuna haya majigambo ya kipropaganda kama hapa Tanzania, au hapa kwetu walaghai waarabu wametufunza kulaghai tunaonekana wapiga kelele bila strategies!
Yanga na simba hizi timu siasa ni nyingi na hazitakaa zipate mafanikio mpk siku wanaachana na mambo ya kipuuzi
 
Back
Top Bottom