Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Napata bwana,furaha niliyo nayo haina kipimo.Nililog off kushangilia kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napata bwana,furaha niliyo nayo haina kipimo.Nililog off kushangilia kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23]We are Simba...This is Simba...miaka kumi mfululizo sisi ndio tutakuwa mabingwa....back to back..IGA UFE ...hii ni level nyingine...sisi ndio timu bora tukifuatiwa na Azam..nawachukia mno gongowazi..Kambi yetu ni South Africa na siyo Morogoro ambako wachezaji kambini wanagombea chips na mihogo...tutaanza kuokota mataji kama ngao ya jamii...target yetu mwaka huu ni kufika nusu fainali kwenye michuano ya CAF..
Uko sahihi!Utani pembeni, Simba inawamiss sana Okwi na Kotei.
Msudan ni kawaida sana. Mo Hussein ni bora kuliko Gardiel.
Mkude alishazoea kucheza na holding midfielder mwenzake. Ku adjust awe peke yake itachukua muda.
Na huu ndo ukweli mkuu,Wengi waliamini simba atasonga mbele,yanga atatolewa mapema
Lahaula!!!!!kumbe MUNGU si hajj manara mambo yamekuwa tofauti kabisa
HayaaaaaaNimemuona Manara amekakamaa dawa inamuingia
Yanga na simba hizi timu siasa ni nyingi na hazitakaa zipate mafanikio mpk siku wanaachana na mambo ya kipuuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dk 3 za nyongeza, Mungu isaidie Songo jamani
Hahahahaha ndio uwezo wenu ulipoishia hayo mengine hayawahusuTumewaachia ninyi Mfike Robo fainali sasa
Mikia haha haaaaaaa.Pamoja na ubovu ule wa kikosi cha simba NASA kwenye kiungo mkabaji bado siioni timu yakumsumbua kwenye ligi yetu
Mzee kilomoni" Mwamba usioshindika",one man army.Je,mzee kilomoni anaweza kuwa anahusika na hali hii inayotupa presha mashabiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaongoza Kumi bila.
Ha ha haaaFaida za mtu kufia kwao.
1.Anapunguza gharama za kusafirisha msiba
2.Anapunguza maswali ya chanzo cha kifo chake
3.Anazikwa na watu wengi wa kwao.[emoji419][emoji419]
Poleni sana wanasimba pole Tanzania
Yatapita tu hayo! Upepo mbaya tu huuYaani kesho washabiki wa simba ni marufuku kukanyaga oficin watakacho kutanacho hawata kisahau maishani mwao
Anayeumia ni yule kuchkuch anayetoa mabilioni yakeKiukweli hata roho haiumi! Tuna timu bora sana. Simba wasifanye mabadiliko yoyote msimu ujao tunakuwa mabingwa wa Africa!