Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Nikiwa kama mtanzania ambaye napenda kuona soka letu likikua hasa kwanzia ngazi ya vilabu, nimeumizwa Sana na haya matokeo ya simba kuondoshwa kwenye ligi ya mabingwa.

Kazeni nyoroo Sasa mliobaki angalau tuwe na timu moja kwenye hatua ya makundi.
 
FB_IMG_1566767375509.jpg
alietumwa kupulizia hii kajichanganya badala ya kupulizia sumu kapulizia air fresh😂
Hahahaa. Hivyo watakomboa Swahiba.
 
Jamani Chama hajafunga yale magoli yake ya dakika za majeruhi? Iga ufe, this is Simba next level!
 
Faida za mtu kufia kwao.
1.Anapunguza gharama za kusafirisha msiba
2.Anapunguza maswali ya chanzo cha kifo chake
3.Anazikwa na watu wengi wa kwao.[emoji419][emoji419]

Poleni sana wanasimba pole Tanzania
Hii ni sawa na kutonesha kidonda Mkuu yaani chenyewe kibichi kisha unakiweka ndimu. 😀😀😀😀
 
Acha tu watoke mana walikuwa wanajifananisha na Real Madrid! Usajili wote ule wanakuja kupambana na Namungo, Ndanda........!Asante Mungu.
Kwani Yanga kwa usajili huo hamtacheza na Namungo
 
Kutolewa ndyo sio jambo la kawaida ila je unatolewa hatua gani hyo ndo inakuwa issue. Kwa simba iliyofika robo fainal msimu uliopita kuondoka atua ya awali kabisa ni upuuzi wa kiwango cha lami.
Hahahaa. Mipango yao ya kufika nusu fainali imegeuka hatua ya awali. Teh teh teh.

Nakazia ni upuuzi wa hali ya juu huu. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom