Bado tupo tupo na kule kwa mabingwa!Kwani Yanga kwa usajili huo hamtacheza na Namungo
Soma posts zangu nimetoa sababu, sina kocha nna kituko.sasa wangekuwa wazuri siwangepangwa kikosi cha kwanza?
Loads of rubbish!Fraga ni mzuri kuliko Kotei.. Shibumbu ni mzuri kuliko Fraga, Shibumbu ni mzuri kuliko Kotei na Fraga lakini akachemsha. Mirajiiii Athumaniiiii goooooal.... Kudadadeki mnawasajili wauza madafu Brazil kuja kula pensheni ... Wapangishieni kigamboni Kuna madafu ya kutosha.
Simba tunae Fragha, mzuri kuliko Kotei kocha tu ndio hajui.Kotei aliwabeba sana pale nyuma. Pengo lake kama liko wazi vile! Halafu walimpotezea Lamine Moro ambaye amekuwa ni lulu upande ule wa pili. Tunawashukuru sana kwa kumfanyia majaribio kwa niaba yetu.
Baada ya Kujaza uwanja sasa Mnajaza Vyooo kwa matumbo ya kuhara .Loads of rubbish!
Hali ikoje huko?Niko taifa tayari wazee πͺ
Maoni yako siyaungi mkono, yatadumaza utaliiSimba hawakuwa na sababu ya kuwaleta wale Wabrazil
Yaani hawa Mikia FC wamechanganyikiwa shemela.Aiseee!!! ππππ Nimecheka LOL
Nashukuru Guta linanilipa vizuri, silali njaa.Wanakula pesa tu sasa hivi wewe endelea kuendesha guta
Yanga tunawasubiri mtarudi nyumbani kuungana na SimbaBado tupo tupo na kule kwa mabingwa!
Huyuhuyu mnaemuita prof?Soma posts zangu nimetoa sababu, sina kocha nna kituko.
anaingia sub hapa soon atasawazisha mpira dk 75 hapaKwan kagere na yule muhogo mchungu hawakucheza leo?
NiacheeeHali ikoje huko?
Kidogo kidogo utasahau tu Mtani. πππNiacheee
Yaani!! Wanatamani iwe ndoto shem. ππYaani hawa Mikia FC wamechanganyikiwa shemela.