Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Fraga ni mzuri kuliko Kotei.. Shibumbu ni mzuri kuliko Fraga, Shibumbu ni mzuri kuliko Kotei na Fraga lakini akachemsha. Mirajiiii Athumaniiiii goooooal.... Kudadadeki mnawasajili wauza madafu Brazil kuja kula pensheni ... Wapangishieni kigamboni Kuna madafu ya kutosha.
Loads of rubbish!
 
Kotei aliwabeba sana pale nyuma. Pengo lake kama liko wazi vile! Halafu walimpotezea Lamine Moro ambaye amekuwa ni lulu upande ule wa pili. Tunawashukuru sana kwa kumfanyia majaribio kwa niaba yetu.
Simba tunae Fragha, mzuri kuliko Kotei kocha tu ndio hajui.
 
Tungetolewa na wale waswana kesha nyie mkawatoa hawa UD SONGO kelele zingekuwa nyingi humu kuwa hatuna jema wala fadhila .Mungu fundi ndege mtapanda ndani ya mipaka yetu ya nchi fullstop
 
Mmeamka
Mtani.jpg
 
Back
Top Bottom