Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mmhhh hata wewe mamii!!!?Kama mie Swahiba yaani tumefurahi mfululizo. ππ
Tena leo maumivu ndio yanazidi kila ukikumbukaYaani!! Wanatamani iwe ndoto shem. ππ
Leo ndiyo mnagundua wakati mlikuwa mnamsifia ni profesa msimu ulioisha au mmesahau?Soma posts zangu nimetoa sababu, sina kocha nna kituko.
Taratibu Shadeeya, mwenzio akinyolewa.............. wahenga hawakubakisha kituMkuu unadhani sisi tuna mbwembwe basi. Yaani tunamfukuza mwizi kimya kimya.
Usijali muje tu siku hiyo tupeane updates.
Pole sana jamaani Ses!! Yatakwisha. ππTena leo maumivu ndio yanazidi kila ukikumbuka
NiacheeeeKidogo kidogo utasahau tu Mtani. πππ
Ila tutanyanyuka tena tu hata Zamalek wakati mwingine hua inatolewa raundi za mwanzomwanzoPole sana jamaani Ses!! Yatakwisha. ππ
Wala hatutaona ajabu hasa ikiwa yule anayejifanya yeye ana kikosi cha mamilioni kaaga mashindano tena pale pale anapopaita kaburini. Teh teh.Taratibu Shadeeya, mwenzio akinyolewa.............. wahenga hawakubakisha kitu
Ama kweli faraja huwa ni muhimu Ses. Mana hapa umejifariji. ππIla tutanyanyuka tena tu hata Zamalek wakati mwingine hua inatolewa raundi za mwanzomwanzo
Yatakwisha tu hayo Mtani. πππππNiacheeee
Nakubaliana nawe mia kwa mia mkuu, timu ya mwaka jana ilikua nzuri na ilishazoweana. Tatizo jingine badala ya kusajili kwenye mapungufu kiasi tukataka kuonyesa misuli ya fedha tukasajili bila kufata mahitaji ya timuNi wakati sahihi sasa kujifunza tuache ujinga timu ya msimu uliopita ilikuwa nzuri tatizo siasa zimekuwa nyingi sana
Naomba siku zipite fasta nisahauPole sana jamaani Ses!! Yatakwisha. ππ
Hapo roho yako kwatu Shadeeya eeh?Wala hatutaona ajabu hasa ikiwa yule anayejifanya yeye ana kikosi cha mamilioni kaaga mashindano tena pale pale anapopaita kaburini. Teh teh.
Usijali utasahau tu Baba.Naomba siku zipite fasta nisahau
Ndioo. ππππππHapo roho yako kwatu Shadeeya eeh?
Ndio nachoomba mpenziUsijali utasahau tu Baba.
Ila umesahau platinum y Zimbabwe imepita mna roho mbayaTimu zote zilizoweka kambi na kucheza na simba katika pre season zimeondolewa.
1.simba
2.Township rollers
3.orlando pirates