Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ni wakati sahihi sasa kujifunza tuache ujinga timu ya msimu uliopita ilikuwa nzuri tatizo siasa zimekuwa nyingi sana
 
walisajili wachezaji bila kumshauri uchebe,yeye orodha aliyoiacha viongozi wakatupa kule,basi wavumilie matokeo
 
Ni wakati sahihi sasa kujifunza tuache ujinga timu ya msimu uliopita ilikuwa nzuri tatizo siasa zimekuwa nyingi sana
Nakubaliana nawe mia kwa mia mkuu, timu ya mwaka jana ilikua nzuri na ilishazoweana. Tatizo jingine badala ya kusajili kwenye mapungufu kiasi tukataka kuonyesa misuli ya fedha tukasajili bila kufata mahitaji ya timu
 
Timu zote zilizoweka kambi na kucheza na simba katika pre season zimeondolewa.
1.simba
2.Township rollers
3.orlando pirates
Ila umesahau platinum y Zimbabwe imepita mna roho mbaya
 
Back
Top Bottom