Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

_Ila wabongo bwana aliyeturoga alituweza, yaani Leo watanzania wote tumeamka tukiwa tumeota ndoto moja eti kwamba Simba ametolewa na wamakonde[emoji45] Hebu muda ufike haraka ili hiyo mechi ichezwe tuepukane na ndoto za kutisha hizi_ [emoji1550]. *SIMBA NGUVU MOJA[emoji123]#THIS IS SIMBA[emoji881]*
 
*HABARI ZINAZOENEZWA MITAANI KUHUSU SIMBA SI ZA KWELI HIVYO MZIPUUZE. HIZO NI PROPAGANDA TU ZA YANGA ILI WAICHAFUE TIMU YETU NA KUWAPUNGUZIA MORALI WACHEZAJI WETU SIKU TUTAKAPOCHEZA NA UD SONGO YA MSUMBIJI. MECHI RASMI KATI YA SIMBA NA UD SONGO YA MSUMBIJI NI TAREHE 31.08.2019, ITAKAYOCHEZWA KUANZIA SAA 10.00 JIONI. FIKENI UWANJANI TUUJAZE UWANJA. _#SIMBA NGUVU MOJA[emoji123]# THIS IS SIMBA!![emoji881][emoji881]*_
 
Maisha hayako fair na hayatokuja yawe fair! Yaani wakati Mimi nasajili Patrick Sibomana wengine wanasajili Deo Kanda Bongoman!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eti deo kanda bongoman
 
Kanda Ni mchezaji machachari ila sio hatari unimfaninishe na Okwi ambae hatari
Nafasi za Jana zile Okwi wanakufunga vizuri tu
Hachezi objective football, sehemu anayopaswa kuwa serious yeye anafanya mashara, dakika za mwisho alipoteza mpira kijinga sana, wakati ilikuwa nafasi ya kutengeneza Goli.
 
Kweli kabisa, anacheza bila ya kuwq na malengo muhimu, muda wote anafanya udambwidambwi, hasa kipindi cha pili jana
Hachezi objective football, sehemu anayopaswa kuwa serious yeye anafanya mashara, dakika za mwisho alipoteza mpira kijinga sana, wakati ilikuwa nafasi ya kutengeneza Goli.
 
Mmeshindwa kujaza uwanja kwenye mechi yenu mtaweza kwenye mechi za Yanga!? Umepanic ndugu
 
Hamna pengo hapo hata mwaka Jana simba aliponzwa na Boko
Kwa timu tuliyokutana nayo jana bocco alikuwa na umuhimu, wale jamaa walimzidi nguvu na kumnyima nafas kagere, so uwepo wa second striker especially bocco kungesaidia sana.
Pia mwanzoni walikuwa wanakuja wengi golini kwetu, so kama tungeongeza mshambuliaji, basi tungewaadhibu mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…