Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
wale wabrazil wameletwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wale wabrazil wameletwa na nani?
Kanda Ni mchezaji machachari ila sio hatari unimfaninishe na Okwi ambae hatariSina hakika kuhusu Fragha,ila nakubaliana na wewe kuhusu Kanda,Okwi wa sasa hawezi kulingana na Kanda.
Wapiga dili. Sidhani kama kocha aliwataka. Watakuwa wamekimbia janga la moto kule Amazon, Brazil.wale wabrazil wameletwa na nani?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eti deo kanda bongomanMaisha hayako fair na hayatokuja yawe fair! Yaani wakati Mimi nasajili Patrick Sibomana wengine wanasajili Deo Kanda Bongoman!
Hachezi objective football, sehemu anayopaswa kuwa serious yeye anafanya mashara, dakika za mwisho alipoteza mpira kijinga sana, wakati ilikuwa nafasi ya kutengeneza Goli.Kanda Ni mchezaji machachari ila sio hatari unimfaninishe na Okwi ambae hatari
Nafasi za Jana zile Okwi wanakufunga vizuri tu
Hachezi objective football, sehemu anayopaswa kuwa serious yeye anafanya mashara, dakika za mwisho alipoteza mpira kijinga sana, wakati ilikuwa nafasi ya kutengeneza Goli.
Mungu si Mwakalobo!!!Wengi waliamini simba atasonga mbele,yanga atatolewa mapema
Lahaula!!!!!kumbe MUNGU si hajj manara mambo yamekuwa tofauti kabisa
Kumbuka yupo kwa mkopo hapo. Mwakani anarudi zake TP Mazembe mara baada ya kukuza kiwango chake.We are still the best, ila narudia tena Deo Kanda ni mtu jamani!!!
Ni kweli MkuuTimu zetu zinabahatisha hazina uhakika wa matokeo
Kuweni na moyo wa huruma basi khaaa. Mimi nikipata stroke kwa sababu ya kufungwa wewe unafaidika na niniYaani wakajifanya wana amsha amsha ambazo zimewatumbukia nyongo.
🤔🤔🤔 hivi Mkuu umenionea wapi huyu Mtani wetu huyu OKW BOBAN SUNZU? 😀
Mk 42 na muogo walicheza mkuuKwan kagere na yule muhogo mchungu hawakucheza leo?
Hamna pengo hapo hata mwaka Jana simba aliponzwa na BokoPENGO LA BOKO LIMEONEKANA
Labda TFFShirikisho lipi tena
Mmeshindwa kujaza uwanja kwenye mechi yenu mtaweza kwenye mechi za Yanga!? Umepanic nduguSawa, tumetolewa lakini tunabakia kuwa timu bora kabisa ukanda huu. Kwenye mpira miujiza hutokea na leo ni moja ya siku hizo!
Simba wamecheza mpira wa level nyingine ila haikuwa siku yao. Deo Kanda ni mtu jamani! Erasto Nyoni ni champion wa penalty!
Yanga tumejitahidi sana kuwa fair this time lakini mmekosa busara, tutalipa mlichofanya leo, tutalipa vibaya zaidi! Tutajaza uwanja against timu yenu ili mjifunze. Tukikutana na nyie zile tano zinarejea! Hapo ndio tutapoza machungu ya kutoka mapema championship.
Poleni wanasimba wenzangu, sometimes mpira una miujiza na leo ni moja ya siku hizo!
Kwa timu tuliyokutana nayo jana bocco alikuwa na umuhimu, wale jamaa walimzidi nguvu na kumnyima nafas kagere, so uwepo wa second striker especially bocco kungesaidia sana.Hamna pengo hapo hata mwaka Jana simba aliponzwa na Boko
Yupo Honolulu kama sio HawaiiWeek end tena dogo?Upo wapi huko mlipo nyuma siku moja?