MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
kwenye mo energyHivi simba wakipigwa sura zao wataziweka wapi
Daah Mungu Wasaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye mo energyHivi simba wakipigwa sura zao wataziweka wapi
Daah Mungu Wasaidie
Ngapi Ngapi my lovely sister ?Tumeshafunga ujue
[emoji23]Tuko apaaa simba nguvu moja [emoji91][emoji91][emoji91]
Leo wamekuwa kama wamemwagiwa maji huko waliko.Mm aka katimu nilisema kama kaliweza kucheza vile kule kwao kwenye uwanja mbovu vile vp wakifika taifa kwenye kapeti? Bwana heee simba walikuja na povu la hatari .Anyway mpira ni dakika tisini tungetaka mshinde hii game ili twende wote watatu ila tatizo lenu ni viburi na majivuno yaliyopitiliza.
Wakuu tupeni updates, hivi kuna furaha inayozidi ile ya simba kufungwa?
Nilileta uzi hapa kutahadharisha juu ya hiyo over confidence nikaoga matusi kutoka kwa Simba wenzanguTatizo la simba ni kujiamini kupitiliza na pia ile hulka yao ya kutowaheshimu wapinzani hasa wanapocheza uwanja wa Taifa. Ngoja tuwape tu muda maana mpira ni dk 90! Hii UD Songo siyo timu ya mchezo mchezo. Ina vijana wengi ambao damu zao zinachemka kweli kweli! Wangekua na utulivu, wangekua mbele kwa goli mbili sasa.
Hahahaa. Tatizo hawaji kujibu haya maswali.Naona leo muhogo mchungu leo kachana nywele...
Sasa wana mikia FC togwa tayari lishaingia nzi,linanyweka kweliii
Ngoja mpira umalizike tujadili hayo.Nilileta uzi hapa kutahadharisha juu ya hiyo over confidence nikaoga matusi kutoka kwa Simba wenzangu
Wakuu tupeni updates, hivi kuna furaha inayozidi ile ya simba kufungwa?
Walisahau kama wewe sio mgeni kwenye haya mambo. 😍😍😍😍Nilileta uzi hapa kutahadharisha juu ya hiyo over confidence nikaoga matusi kutoka kwa Simba wenzangu
😅😅😅😅 kipole zaidi.Ngoja mpira umalizike tujadili hayo.
Mtapata ushindi Kaka usikate tamaa.Leo mmmh..yaani kama sio wale Simba ninaowajua..maji ya shingo!