Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Mm aka katimu nilisema kama kaliweza kucheza vile kule kwao kwenye uwanja mbovu vile vp wakifika taifa kwenye kapeti? Bwana heee simba walikuja na povu la hatari .Anyway mpira ni dakika tisini tungetaka mshinde hii game ili twende wote watatu ila tatizo lenu ni viburi na majivuno yaliyopitiliza.
Leo wamekuwa kama wamemwagiwa maji huko waliko.

Mbwembwe watakuja nazo mpira ukiisha na wakapata ushindi au wakomboe.
 
Tatizo la simba ni kujiamini kupitiliza na pia ile hulka yao ya kutowaheshimu wapinzani hasa wanapocheza uwanja wa Taifa. Ngoja tuwape tu muda maana mpira ni dk 90! Hii UD Songo siyo timu ya mchezo mchezo. Ina vijana wengi ambao damu zao zinachemka kweli kweli! Wangekua na utulivu, wangekua mbele kwa goli mbili sasa.
Nilileta uzi hapa kutahadharisha juu ya hiyo over confidence nikaoga matusi kutoka kwa Simba wenzangu
 
Naona leo muhogo mchungu leo kachana nywele...

Sasa wana mikia FC togwa tayari lishaingia nzi,linanyweka kweliii
Hahahaa. Tatizo hawaji kujibu haya maswali.

Hawajui tu wanavyotupa wakati mgumu. Teh teh teh teh
 
Wakuu tupeni updates, hivi kuna furaha inayozidi ile ya simba kufungwa?

Ni masikitiko tu kwa kweli! Hatuwezi kuwa na furaha wakati timu yetu tunayoitegemea kuingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika msimu huu ikiwa inapambana kujiokoa dhidi ya balaa ambalo hawakulitarajia kabisa.
 
Nilileta uzi hapa kutahadharisha juu ya hiyo over confidence nikaoga matusi kutoka kwa Simba wenzangu
Walisahau kama wewe sio mgeni kwenye haya mambo. 😍😍😍😍

Ila tusubiri tuone bwana Ses huenda leo Mkapata ushindi japo nakumbusha tu zinatakiwa bao mbili.
 
Back
Top Bottom