Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Leo wamekuwa kama wamemwagiwa maji huko waliko.

Mbwembwe watakuja nazo mpira ukiisha na wakapata ushindi au wakomboe.
 
Nilileta uzi hapa kutahadharisha juu ya hiyo over confidence nikaoga matusi kutoka kwa Simba wenzangu
 
Naona leo muhogo mchungu leo kachana nywele...

Sasa wana mikia FC togwa tayari lishaingia nzi,linanyweka kweliii
Hahahaa. Tatizo hawaji kujibu haya maswali.

Hawajui tu wanavyotupa wakati mgumu. Teh teh teh teh
 
Wakuu tupeni updates, hivi kuna furaha inayozidi ile ya simba kufungwa?

Ni masikitiko tu kwa kweli! Hatuwezi kuwa na furaha wakati timu yetu tunayoitegemea kuingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika msimu huu ikiwa inapambana kujiokoa dhidi ya balaa ambalo hawakulitarajia kabisa.
 
Nilileta uzi hapa kutahadharisha juu ya hiyo over confidence nikaoga matusi kutoka kwa Simba wenzangu
Walisahau kama wewe sio mgeni kwenye haya mambo. 😍😍😍😍

Ila tusubiri tuone bwana Ses huenda leo Mkapata ushindi japo nakumbusha tu zinatakiwa bao mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…