Inabidi serikali iingilie hili swalaAfadhali Mkuu. Ila nimeamini kwamba Mikia huwa wana midomo wakishinda tu.
Yaani leo kama Mabubu hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Ntajaribu love japo naona dua yangu haitafika. πππUtuombee mpenzi
Ewaaaaa! Muje kama hivi Mtani.Wanaongoza bado hawajashinda. Mpira dakika 90, NguvuMoja
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]AIBU GANI HII MUNGU WANGU NITAIWEKA WAPI SURA YANGU MIMI KWA VYURA.
Aya banaSesten Zakazaka OKW BOBAN SUNZU Sanchez magoli Sapta Sapta Ghazwat sembo Shunie joanah aminas Khaligraph Jordan mko wapi hivi.
Au ndio mko Uwanjani wenzetu.πππ
Hongera kwao, nadhani matokeo yatabaki hivi hivi hadi dk 90 zitakapokwishaWanaongoza bado hawajashinda. Mpira dakika 90, NguvuMoja
Teh teh teh tehππππππππππ
Ngojaa dawaa iwaingiee vzuriiiNi suala la muda tu but simba tunashinds
Tuunganishe nguvu ya kuomba yaani sina raha kabisaa mamiiHahahaaa. Ntajaribu love japo naona dua yangu haitafika. πππ
Mpira ukiisha pia utuiteSesten Zakazaka OKW BOBAN SUNZU Sanchez magoli Sapta Sapta Ghazwat sembo Shunie joanah aminas Khaligraph Jordan mko wapi hivi.
Au ndio mko Uwanjani wenzetu.πππ
Fill the blank teh teh teh teh..........