Nkwe2RG
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 231
- 224
😃😃😃 ndo imeimarika voooMamamee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua jioni yako imeharibika, pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃 ndo imeimarika voooMamamee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua jioni yako imeharibika, pole sana
Dah! Sina hata la kusema mpenzi, nimevunjika moyo sana na kikosi ambacho tulidhani kitafanya maajabu mwaka huuPole sana Baba. Ndio mpira huo.
Aisee!Je,mzee kilomoni anaweza kuwa anahusika na hali hii inayotupa presha mashabiki.
Shida manara anaongea sana mkuuDah! Acha tu mkuu huu ni wakati mgumu Sana kwa Wapenzi wa Simba.
Tatizo ni gundu la ajibu, mwaka huu hata ligi hamchukui
Kaeni mguu sawa Kagera sugar hakushuka daraja mjueDah! Sina hata la kusema mpenzi, nimevunjika moyo sana na kikosi ambacho tulidhani kitafanya maajabu mwaka huu
Hahahaaa! Na sisi pia tutawanyoosha msimu huu.Na kagera sugar wanawasubiri kwa hamu
Shirikisho lipi tenaBado wapo. wanaenda shirikisho
Watakata rufaa CAF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na usajili wote huo ambao ulilenga mechi za club bingwa
Mmmmhhhhh🤔🤔🤔Hahahaaa! Na sisi pia tutawanyoosha msimu huu.
Mmeanza kutafuta mchawi, kubalianeni na matokeoKakolanya amemroga Manula haiwezekani acheze kikondoo hivi.
.
Alama 15 tunaanza upyaaaaa kuzitafuta zimefutwa baada ya Simba kutoka siondoki hapa mimi