Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Huu ndiyo umbumbumbu kuongea bila takwimu,aliyeliwa tigo Mara nyingi nani? Nakupigwa bao nyingi?
Mie kwangu salama ya Yanga ni kupaki basi, hata mechi ijayo lazima Zahera apaki apaki basi, kwa midfield gani aliyonayo.
 
Sina hakika kuhusu Fragha,ila nakubaliana na wewe kuhusu Kanda,Okwi wa sasa hawezi kulingana na Kanda.
Fragha ni bonge la kiungo mkabaji na anaweza kucheza central back. Alimchezesha mara moja na Power Dynamos timu ikatulia ile mbaya
 
Fragha ni bonge la kiungo mkabaji na anaweza kucheza central back. Alimchezesha mara moja na Power Dynamos timu ikatulia ile mbaya
uchebe fala kweli anatabia ya kukariri wachezaj mkude gemu ngumu haziwez hata wawa na nyon pale ni shida kubwa lakin kwa ufala wake amewan'gan'gania
 
View attachment 1189667
Kikosi cha Mnyama

Haya wanaJF ziimebaki dakika chache kuelekea mpambano mkali kati ya Simba Sc na UD Songo.

Mtangazaji wako mwandamizi kwa kushirikiana na wadau wote muhimu tunakueletea moja kwa moja kambumbu kutoka uwanja wa Taifa.

Hamasa ya mashabiki ni kubwa sana. Uwanja wa Taifa unaendelea kujaa.
*****

UPDATES
Simba yatupwa nje ya michuano ya Mabingwa Afrika kwa faida ya bao la ugenini waliyoipata UD Songo kutoka Msumbiji.

UD Songo ndiyo waliokuwa wa kwanza kutikisa nyavu za Simba kupitia kwa nahodha wake Luis kunako dakika 14 ya mchezo.

Goli la kusawazisha la Simba SC, Limefungwa na Erasto Nyoni kwa njia ya mkwaju wa penati kunako dakika ya 86 ya mchezo.

Mchezo wa kwanza Simba SC walitoka Srae ya 0-0 dhidi ya UD Sonko, Hivyo kwa matokeo hayo UD Sonko wanasonga mbele kwa faida ya goli la ugenini.

Simba SC inakuwa ni timu ya pili kutoka Tanzania kutolewa kwenye michuano kimataifa ya CAF, Baada ya klabu ya KMC FC ya Kinondoni kutolewa Ijumaa hii kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika.
manara najua upo humu na unasoma hii coment...ebu niulizie uchebe kwa nn hatak kuwapa nafas central defendars wengine? wawa na nyon wamempa nn?hata kocha wa ud songo amesema dhahir bek yetu ni nyanya kocha linazid kupanga watu wale wale

kwa nn asimaribu hata fraga bas ..uchebu huko uliko japo hujui kiswahil nimekumind kinoma
 
Mie kwangu salama ya Yanga ni kupaki basi, hata mechi ijayo lazima Zahera apaki apaki basi, kwa midfield gani aliyonayo.
Acha tuendelee kupaki bus tu maana timu yetu inamaingizo mapya mengi,siyo kama nyinyi mlijiachia wakati kiungo wenu kaondoka James Kotei
 
manara najua upo humu na unasoma hii coment...ebu niulizie uchebe kwa nn hatak kuwapa nafas central defendars wengine? wawa na nyon wamempa nn?hata kocha wa ud songo amesema dhahir bek yetu ni nyanya kocha linazid kupanga watu wale wale

kwa nn asimaribu hata fraga bas ..uchebu huko uliko japo hujui kiswahil nimekumind kinoma
Hakuna mtu asiyejua kuwa Wawa na Nyoni pale ni tia maji tia maji, ila kocha kwa kutojua mpira anawang'angania. Hata Azam walikuwa wanapita katikati kwa kujua udhaifu wetu lakini Uchebe hilo haelewi.
Tuna macentral defenders kibao kama Fragha, Dos Santos, Kennedy Juma na Mlipili lakini anawatosa anaweka wabovu. Toa kocha mjinga huyo anatulostisha tu.
 
Mie nawaambia watu siku zote Simba tuna kila kitu ila hatuna kocha
Hata Guadiola anapoteza game mkuu... kwanini tusikubali matokeo?
Habari ya kuchambua mechi ilivyokuwa sio mbaya ila tusione ubovu mkuu, ule ni mpira hata kocha alitamani ushindi.
Tujipange tu
 
Tangu wale wachezaji toka Brazil wasajiliwe sijawaona wakicheza Ni kwa nini?.
 
Hakuna mtu asiyejua kuwa Wawa na Nyoni pale ni tia maji tia maji, ila kocha kwa kutojua mpira anawang'angania. Hata Azam walikuwa wanapita katikati kwa kujua udhaifu wetu lakini Uchebe hilo haelewi.
Tuna macentral defenders kibao kama Fragha, Dos Santos, Kennedy Juma na Mlipili lakini anawatosa anaweka wabovu. Toa kocha mjinga huyo anatulostisha tu.
Nakumbuka kocha uchebe alirushiwa chupa za maji Mwanza tulipofungwa,na wengine wakataka afukuzwe.Simba ilipotinga robo fainali CAF,kutwaa ubingwa wa ligi kuu na ngao ya jamii,mkampa kila aina ya majina,professor na sifa kede kede.Leo unamwona mjinga?.Timu ambao imesajili wachezaji dakika za majeruhi,kambi wiki mbili, mlitegemea miujiza?.
 
Hawana shukurani. Na kwa nini wamwongezea mkataba?
Wanasajili kwa matakwa yao sio kocha. Tatizo la Uchebe ni kukubali kusajiliwa wachezaji. Kimya kimya Wabrazil watakula benchi hadi kiama. Bado kuna Mzee was gundu Ajibu.
 
Hata Guadiola anapoteza game mkuu... kwanini tusikubali matokeo?
Habari ya kuchambua mechi ilivyokuwa sio mbaya ila tusione ubovu mkuu, ule ni mpira hata kocha alitamani ushindi.
Tujipange tu
Matokeo tunayakubali ila tunayaongea mambo ambayo Aussems amekuwa akiambiwa week in week out lakini hayafanyii kazi. Kocha mzuri ni yule anayebadilika siyo anayefanya makosa kwa kurudia rudia, anatutia hofu na uwezo wake.
 
Kuweni na moyo wa huruma basi khaaa. Mimi nikipata stroke kwa sababu ya kufungwa wewe unafaidika na nini
😀😀😀😀 Mtani nmecheeka. lol. Wanasemaga kufa hufi ila cha moto sasa hivyo mtani huwezi pata stroke bana. 😀😀

Ila pole ndio mpira huo.
 
Back
Top Bottom