ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Ligi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024
Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ.
Yanga hatashiriki mashindano haya kwa kuwa hakualikwa labda angealikwa angebeba kombe lenyewe na mtani msimu huu akatoka kapa.
Simba pambaneni mmetengezewa mashindano mengine japo mbebe kombe la Muungano mkipigwa tutawapa pole tena.