Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Onyesha source ambayo Yanga wamekataa kushirikiUnapenda kubisha vitu usivyovijua. Yanga wamelikwa ila wamekataa kushiriki
Onyesha source ambayo inaonyesha yanga wamekataaAcha ujuaji ww masikio yasiosikia.
Onyesha source ambayo inaonyesha yanga wamekataa
Onyesha source ambayo inaonyesha yanga wamekataa
Ligi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024
Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ.
Yanga hatashiriki mashindano haya kwa kuwa hakualikwa
Zile zimechaguliwa mfano yanga angekuwepo zingekua timu tano zingechezaje![]()
Simba, Azam zajitosa Kombe la Muungano, Yanga yachomoa!
KLABU za Simba na Azam FC zimethibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Muungano inayoenda sambamba na Miaka 60 ya Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zitakazoadhimishwa Aprili 26, huku...www.mwanaspoti.co.tz
Haya mashindano zamani yalikua na maana kwakua yalikua yanatumika kutafuta wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya CAF wakati Zanzibar haijapata uanachama wa CAF kama nimekosea watanisahihisha wajuvi wa mambo ya soka. Currently hayana maana tena kwasababu ni sawa na kombe la mapinduzi, yamekaa kisiasa, kihistoria na kiutamaduni zaidi katika kudumisha Muungano ndo maana hata ushiriki na ufanyikaji wake ni wa zimamoto. Nashauri yaunganishwe na kombe la mapinduzi ili iwe kama CARABAO/ EFL Cup kule EnglandLigi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024
Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ.
Yanga hatashiriki mashindano haya kwa kuwa hakualikwa labda angealikwa angebeba kombe lenyewe na mtani msimu huu akatoka kapa.
Simba pambaneni mmetengezewa mashindano mengine japo mbebe kombe la Muungano mkipigwa tutawapa pole tena.
AaaaahaaSasa mbumbumbu na huku mshindwe tena..
Hilo ni suala la waandaaji, maybe hata Zanzibar zingetoka timu tatu. Mbona unabishana na waandaaji? Wao wanasema Yanga imekataaZile zimechaguliwa mfano yanga angekuwepo zingekua timu tano zingechezaje
Hata African Football League ni michuano ya kuteuliwa, lakini ndio michuano yenye pesa nyingi kwa washiriki kuliko michuano yote ya ngazi ya vilabu barani Afrika. Mpira ni biashara piaKwa hio sisi Simba ndio wakucheza michuano ya kuteuliwa?
Mashindano yanaibuka kati kati ya msimu kuchosha wachezaji tuHilo ni suala la waandaaji, maybe hata Zanzibar zingetoka timu tatu. Mbona unabishana na waandaaji? Wao wanasema Yanga imekataa
View attachment 2970672
akili za kimalaya ukiona hela tu unajipeleka sasa hivi tuna viporo kadhaa bado tunaongeza mashindano wakati huo wachezaji wanacheza kama hawataki ilimradi ligi iishe afadhari tungepambania nafasi ya pili kwa huu ujinga hata ya pili hatumoHata African Football League ni michuano ya kuteuliwa, lakini ndio michuano yenye pesa nyingi kwa washiriki kuliko michuano yote ya ngazi ya vilabu barani Afrika. Mpira ni biashara pia
Huwa sioni haja ya mtu kutoa maneno machafu wakati wa mijadala ya kawaida kabisa.akili za kimalaya ukiona hela tu unajipeleka sasa hivi tuna viporo kadhaa bado tunaongeza mashindano wakati huo wachezaji wanacheza kama hawataki ilimradi ligi iishe afadhari tungepambania nafasi ya pili kwa huu ujinga hata ya pili hatumo
Wewe ni mbishi na unataka kujifanya ni mjuaji wakati hujui. Nilikwambia tokea juu kuwa Yanga walialikwa ila wakayakataa haya mashindano ukasema ni uongo. Badae ukaomba source mdau kakupa bado unakuja na hoja mpya ya mashindano.Zile zimechaguliwa mfano yanga angekuwepo zingekua timu tano zingechezaje
Umekuja tena na story badala evidenceWewe ni mbishi na unataka kujifanya ni mjuaji wakati hujui. Nilikwambia tokea juu kuwa Yanga walialikwa ila wakayakataa haya mashindano ukasema ni uongo. Badae ukaomba source mdau kakupa bado unakuja na hoja mpya ya mashindano.
Hakuna shaka, Simba na Yanga ni taswira la soka la Tanzania na kila shindano linaloandaliwa huwa linalenga zaidi uwepo wa timu ambayo ni Simba na Yanga kwasababu ya kibiashara na kisiasa.
Hivyo waliotanguliwa kupewa mualiko ili washiriki haya mashindano ni Simba na Yanga kwasababu ndio timu kubwa na kongwe. Kwenye huo mwaliko Yanga alikataa ila Simba ndiye akakubali. Baada ya kukataa Yanga ndipo wakawapa mwaliko Azam na Azam wamekubali. Baada ya kukubali Azam na Simba wakaziteua timu za Zanzibar mbili ili kufanya timu ziwe nne.
Post namba 24 lupweko hajakupa source? Au unapenda majibu ya kujirudia rudia?Umekuja tena na story badala evidence