TFF imefanya kila namna Simba atoke na kombe msimu huuLigi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024
Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ.
Yanga hatashiriki mashindano haya kwa kuwa hakualikwa labda angealikwa angebeba kombe lenyewe na mtani msimu huu akatoka kapa.
Simba pambaneni mmetengezewa mashindano mengine japo mbebe kombe la Muungano mkipigwa tutawapa pole tena.
Ni uongo Yanga hajaalikwaHapana Yanga wamearikwa ila wamekataa
Azam wapo nae huko hawalambi kituTFF imefanya kila namna Simba atoke na kombe msimu huu
Acha ujuaji ww masikio yasiosikia.Ni uongo Yanga hajaalikwa
Sio mbayaHapati kitu
Kwahy fainali n simba vs Azam 😂Jumla team 4
Simba
Azam
KMKM
KVZ
Mkuu huchokagi hii comment?
Ni uongo Yanga hajaalikwa