Ligi ya Muungano kuanza kutimua vumbi Aprili 23, 2024

Nakushangaa kama hauoni umhimu wa nafasi ya pili, wakati bila hio hatuendi CL una uhakika AFL mwaka huu itakuwepo mashindano hayana hata calendar wala vigezo what if CAF wakibadili mfumo tutaenda wapi?
 
Hapo ndio utaona viongozi wa Simba ni maboya timu inashiriki mabonanza Kama timu za ndondo.
 
Nakushangaa kama hauoni umhimu wa nafasi ya pili, wakati bila hio hatuendi CL una uhakika AFL mwaka huu itakuwepo mashindano hayana hata calendar wala vigezo what if CAF wakibadili mfumo tutaenda wapi?
Ume mquote sio sahihi, angalia vizuri
 
Game zinachezewa upande wa pili wa muungano au? Ila sidhani kama kuna timu itapeleka wachezaji wake muhimu,
 
Hii kuendelea kuwa na Viporo kwenye ligi kutaigharimu sana Timu!!
 
Warudishe rasmi ligi ya muungano mshindi awe muwakilishi wa nchi. Hizi nyingine ni janja janja za kupiga pesa tu. Na mtaji ni simba na yanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…