Ligi ya nchi gani ndio bora sana duniani?

Hakuna ligi ambayo hainivutii kama La Liga, ligi gana timu zinafungana kilofa vile, mara utasikia madrid kashinda 8, mara Barca kashinda 6-0.
Nitaendelea kuipenda ligi ya Epl daima, Atleast hata Bundes liga mzuri kuliko hiyo ligi wa kikuda.
Nina mashaka na timu unayoishabikia
 
Hv mkuu mbona unaongea mifano ya ajabu Kwa hyo kigezo cha ligi ngumu Madrid au Barcelona afungwe nyingi
 
Hv mkuu mbona unaongea mifano ya ajabu Kwa hyo kigezo cha ligi ngumu Madrid au Barcelona afungwe nyingi
PNC 1 Uwe unasoma na kuelewa kwanza basi ndio uingie kwenye mkanasha!
 
naweza kukubaliana nawewe kwa hilo lakini ukiangalia ligi ya spain wanaofanya vizuri ni timu mbili tu kwa mtazamo wangu hii haifanyi kuwa ligi yenye ushindani,ushindani huatikana kwa matokeo kuto tabirika
Niambie idadi ya timu kutoka spain zilizo katika robo fainal europa na UCL halafu vile vile niambie timu za uingereza zilizopo huko....ukipata jibu tulia nalo maana utakuwa umeshajua kipi ni kipi...pinga ukiwa na data
 
Katika darasa lenye wanafunzi vilaza wote lazima ushindani uwe kama unavyosema wewe maana hakuna extra ordinary...
 
Niambie idadi ya timu kutoka spain zilizo katika robo fainal europa na UCL halafu vile vile niambie timu za uingereza zilizopo huko....ukipata jibu tulia nalo maana utakuwa umeshajua kipi ni kipi...pinga ukiwa na data
kama nilivyosema awali,sipingani sana na kauli yako,lakini spain bingwa anapatikana wakati bado kuna mechi nane au zaidi,na wakati huohuo timu mbili za kwanza zinawaacha wengine nyuma kwa zaidi ya pointi kumi,ndio maana nikasema kuwa ligi ya spain pamoja na ubora wake lakini haina ushindani
 
Hebu nipe takwimu kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita...ligi ya spain bingwa alipatikana zikiwa zimebaki mechi ngap ukilinganisha na uingereza
 
Atletico, barcelona na real madrid zikitupwa EPL bado itabaki kuwa ligi ya timu 2 au 3. 😀😀😀😀
 
Hebu nipe takwimu kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita...ligi ya spain bingwa alipatikana zikiwa zimebaki mechi ngap ukilinganisha na uingereza
Ikiwa imebaki mechi moja
 
Nikikuuliza mengi utashindwa kunijibu ILS nikuulize hili kuwa Ni mwaka upi Bingwa Spain alipatikana bado mechi 8 ??
SITAK NGONJERA WEKA JIBU
 
wapenzi wa soka la nje,nchi gani kati ya hizi unadhani ina ligi yenye ushidani zaidi?
italia
uingereza
ujerumani
ufaransa
uhispania
uholanzi

Unauliza makofi polisi we vipi! Spain hapo..next?
 
ligi bora na ngumu kivipi ili hali only madrid & barca wanawafunga wenzao mara goli 10, 7,6,5,4! ugumu upo wapi hapo??

EPL mara ya mwisho kusikia mtu kafungwa 10 ilikuwa lini??

Acha ushabiki wa kitoto wewe! Ligi za Spain wanatumia bongo uwanjani na si nguvu ka epl we vipi...next?
 
Umenena bro
 
Haina ushindani kwako wewe na si kwa mashabiki duniani kote....next?
 
Hivi wewe kwa akili yako tu uliyozaliwa nayo unadhani timu gani duniani ya kuifunga baca? Yaani Natamani sana baca mletewe epl muda wa mwaka mmoja tu,kila timu ingepata kichapo co chini ya 20 goals...chezea baca wewe
 
Unaakili kweli kijana! Tatizo lenu mnalazimisha timu kama bace ifungwe goli nyingi kitu ambacho never na haitotokea....huko kwenu kawaida tu kufungwa timu kubwa coz hawatumii common sense wanapokua uwanjani,
 
ligi bora na ngumu kivipi ili hali only madrid & barca wanawafunga wenzao mara goli 10, 7,6,5,4! ugumu upo wapi hapo??

EPL mara ya mwisho kusikia mtu kafungwa 10 ilikuwa lini??
Je timu za Epl Na La liga zip znafany vzr ktk mashndano makubwa km vile uefa na europa...

Sevilla, Valencia, athletic Bilbao, Villarreal ndo wababe wa europa Na hao Barca Na Madrid uefa ndo yao Je Epl timu zake znaubora gan!!!?

NB: totehnan Na ubora wake wa EPL msim huu kafanywa nn Na Dortmund je EPL nan anaweza kumpga toth nje ndan!? Jibu linabak Epl kelel za media n nying kuliko soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…