PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Nina mashaka na timu unayoishabikiaHakuna ligi ambayo hainivutii kama La Liga, ligi gana timu zinafungana kilofa vile, mara utasikia madrid kashinda 8, mara Barca kashinda 6-0.
Nitaendelea kuipenda ligi ya Epl daima, Atleast hata Bundes liga mzuri kuliko hiyo ligi wa kikuda.