kedimund74
Member
- Mar 4, 2015
- 79
- 26
naweza kukubaliana nawewe kwa hilo lakini ukiangalia ligi ya spain wanaofanya vizuri ni timu mbili tu kwa mtazamo wangu hii haifanyi kuwa ligi yenye ushindani,ushindani huatikana kwa matokeo kuto tabirika
Bora ni ligi inayotoa timu zenye ushindan Na mafanikio kwenye mashindano makubwa km uefa na Europa sio kwa ligi Bora kwa kuangalia upande mmoja wakitoka nje wanapgwa nying...Ubora je? Maana unasema umezungumzia ushindani?
Huyo Stoke hata Europa hajulikan hapo maana yake Liverpool hajiwez sio kufungwa kwake ni kuthibitsha ubora.... Unahic nin Valencia vs Stoke au Sevilla vs Everton.. . ukitaka more detail tafuta historia ya mashndno makubwa utakuta timu za Spain znaongoza kwa mafanikio kote uefa Madrid Na Barca Europa sevilla Villarreal Na Valencia hapo cjamtaja athetc Madrid wala athletic Bilbao.... Tofautsha Kat ya upenz Na uboraMkuu mkolaj, inashangaza sana hii ligi inayoitwa bora na ngumu-sijawahi ona barca/madrid anafungwa angalau 5 na timu yoyote za chini kinyume chake barca/madrid ndio kila siku wanapiga wenzao vpigo vinene vinene!
EPL juzi kati livapool amekula 6 kutoka stoke, aseno amekula 4 bila kutoka kwa soton!
kama nilivyosema awali,sipingani sana na kauli yako,lakini spain bingwa anapatikana wakati bado kuna mechi nane au zaidi,na wakati huohuo timu mbili za kwanza zinawaacha wengine nyuma kwa zaidi ya pointi kumi,ndio maana nikasema kuwa ligi ya spain pamoja na ubora wake lakini haina ushindani
ligi bora na ngumu kivipi ili hali only madrid & barca wanawafunga wenzao mara goli 10, 7,6,5,4! ugumu upo wapi hapo??
EPL mara ya mwisho kusikia mtu kafungwa 10 ilikuwa lini??
Muongezee na villareal iyemtoa NapoliTimu mbili!? Fuatilia Europa utakutana Na Tim za Spain sevilla Valencia Bilbao ndo wanafany vzr kila mwaka.... Atletico Madrid umemuweka kundi gan!?
Mara ya mwisho Everton kucheza na timu za Spain alicheza na Granada alipigwa 3 tena kwake had Leo hana hamuHuyo Stoke hata Europa hajulikan hapo maana yake Liverpool hajiwez sio kufungwa kwake ni kuthibitsha ubora.... Unahic nin Valencia vs Stoke au Sevilla vs Everton.. . ukitaka more detail tafuta historia ya mashndno makubwa utakuta timu za Spain znaongoza kwa mafanikio kote uefa Madrid Na Barca Europa sevilla Villarreal Na Valencia hapo cjamtaja athetc Madrid wala athletic Bilbao.... Tofautsha Kat ya upenz Na ubora
kati ya vilaza ni wewe, mafanikio ya EPL huyajui??Dhahiri inaonyesha wewe ni mshabiki wa mpira wa rede. Jaribu kwa ufupi kututajia mafanikio ya Timu za EPL nje ya ligi yao na hao wanaofungana magoli 10.
Unamtukana mwenzio wakati ukijumlisha wote hao hawamfikii R.Madrid pekee achilia Barca,Valencia na wengineo!!kati ya vilaza ni wewe, mafanikio ya EPL huyajui??
livapool Uefa 5
mashetani Uefa 3
blues Uefa 1
una lingine?? nyauu mweusi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cha ajabu ukijumlisha zote bado hamumfikii Madrid[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] alaf unapambana na EPL zaid ya la ligakati ya vilaza ni wewe, mafanikio ya EPL huyajui??
livapool Uefa 5
mashetani Uefa 3
blues Uefa 1
una lingine?? nyauu mweusi!
England kwa nn asiwe wa 7 yani wajeruman wewe nyuma ya England wakat wolfbug(8) alimcharaza man u(6epl) kama haitoshi Dortmund(2) kampa za uso Tottenham(2epl) na huyo Bayern(1) endapo angekutanishwa na Leicester (1epl) hakika mauaji ya Hitler yangekuwa maradufu kuliko yaliyopita1. SPAIN (points) 7392
2. ENGLAND (points) 5850
3. ITALY (points) 4261
4. GERMANY (points) 4260
5. PORTUGAL (points) 3065
6. FRANCE (points) 2397
7. RUSSIA (points) 1858
8. UKRAINE (points) 1754
9. NETHERLANDS (points) 1515
10. TURKEY (points) 1043
Chanzo: eurotopfoot
kwanini kwenye mfano wako usiiweke timu ya barca[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cha ajabu ukijumlisha zote bado hamumfikii Madrid[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] alaf unapambana na EPL zaid ya la liga
naweza kukubaliana nawewe kwa hilo lakini ukiangalia ligi ya spain wanaofanya vizuri ni timu mbili tu kwa mtazamo wangu hii haifanyi kuwa ligi yenye ushindani,ushindani huatikana kwa matokeo kuto tabirika
kati ya vilaza ni wewe, mafanikio ya EPL huyajui??
livapool Uefa 5
mashetani Uefa 3
blues Uefa 1
una lingine?? nyauu mweusi!
kigezo gani umetumia kuiweka livapool namba 5 badala ya namba 3??? ndio maana nimekwambia wewe na wenzio hamjitambui! mbona ulikuwa unasema EPL haina mafanikio yoyote UEFA???Sawa mimi nyau mweusi ndio maana nikakwambia wewe fani yako rede acha nikuwekee tano bora then utatambua ligi ipi ni bora.
1. Real Madrid kashinda uefa mara kumi (10) mwaka 1956, 1957,1958, 1959, 1960, 1966, 1998, 2000, 2002 na 2014.
2. AC Milan kashinda mara saba (7) mwaka 1963, 1969, 1989, 1990, 1994, 2003, 2007
3. Bayern Munich kashinda Mara tano (5) mwaka 1974, 1975, 1976, 2001 na 2013.
4. Barcelona kashinda Mara tano (5) mwaka 1992, 2006, 2009, 2011 na 2015.
5. Liverpool kashinda Mara tano (5) mwaka 1977, 1978, 1981, 1984 na 2005.
Mpaka sasahivi nadhani wadau watatambua nani NYAU MWEUSI.
Hizo timu tatu ulizotaja za EPL jumla zimeshinda mara 9 na bado hawafikia rekodi ya timu moja tuu ya spain real madrid ambayo imeshinda mara kumi
NAKUSHAURI TUU HIZI FANI ZA MICHEZO ZINA WENYEWE RUDI TUU UKACHEZE REDE NA DADAZAKO
kigezo gani umetumia kuiweka livapool namba 5 badala ya namba 3??? ndio maana nimekwambia wewe na wenzio hamjitambui! mbona ulikuwa unasema EPL haina mafanikio yoyote UEFA???