Sawa mimi nyau mweusi ndio maana nikakwambia wewe fani yako rede acha nikuwekee tano bora then utatambua ligi ipi ni bora.
1. Real Madrid kashinda uefa mara kumi (10) mwaka 1956, 1957,1958, 1959, 1960, 1966, 1998, 2000, 2002 na 2014.
2. AC Milan kashinda mara saba (7) mwaka 1963, 1969, 1989, 1990, 1994, 2003, 2007
3. Bayern Munich kashinda Mara tano (5) mwaka 1974, 1975, 1976, 2001 na 2013.
4. Barcelona kashinda Mara tano (5) mwaka 1992, 2006, 2009, 2011 na 2015.
5. Liverpool kashinda Mara tano (5) mwaka 1977, 1978, 1981, 1984 na 2005.
Mpaka sasahivi nadhani wadau watatambua nani NYAU MWEUSI.
Hizo timu tatu ulizotaja za EPL jumla zimeshinda mara 9 na bado hawafikia rekodi ya timu moja tuu ya spain real madrid ambayo imeshinda mara kumi
NAKUSHAURI TUU HIZI FANI ZA MICHEZO ZINA WENYEWE RUDI TUU UKACHEZE REDE NA DADAZAKO