Ligi ya Saudia sasa kurushwa ndani ya Azam TV

Kufuatia mastaa wengi kwenda kucheza ligi ya Saudia huko Uarabuni wakiwemo Cristiano Ronaldo, Sadio Mane, Bobby Firmino, Riyad Mahrez na wengineo wengi, hatimaye Azam Media wameamua kurusha ligi hiyo mubashara.

Mwanasoka utaendelea kuwafatilia wachezaji wako pendwa waliopo Uarabuni kupita Azam TV.
Msimu wa ligi hiyo unatarajiwa kuanza kesho Ijumaa kwa mchezo mmoja.

Hakika hii ni kubwa sana, kongole kwa Azam TV.

View attachment 2713655
Hawa jamaa wanakwenda na mademu wao, siyo lazima wawe wake wa ndoa, wakiwa wanavaa kaptula na jeans bila vilemba. Sijui itakuwaje kwa sheria za kiislamu; au ndiyo mwanzo wa mapinduzi ya MBS
 
Kufuatia mastaa wengi kwenda kucheza ligi ya Saudia huko Uarabuni wakiwemo Cristiano Ronaldo, Sadio Mane, Bobby Firmino, Riyad Mahrez na wengineo wengi, hatimaye Azam Media wameamua kurusha ligi hiyo mubashara.

Mwanasoka utaendelea kuwafatilia wachezaji wako pendwa waliopo Uarabuni kupita Azam TV.
Msimu wa ligi hiyo unatarajiwa kuanza kesho Ijumaa kwa mchezo mmoja.

Hakika hii ni kubwa sana, kongole kwa Azam TV.

View attachment 2713655
Hongera yao
 
Bora tuwaone wajomba zetu.

Matunda ya IGA na HGA. Tunawashukuru DP world.
 
Back
Top Bottom