Ligi ya Tanzania inaenda kuporomoka kwa kasi sana

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,198
Reaction score
5,454
Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.

Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.

Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.

Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.

Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.

Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.

Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.

Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.

Wasikilize wazee wa Simba hapa.

Hivi kwanini mnaishiaga kupiga kelele kama mwanamke anayenyanyaswa na mumewe ndani ya nyumba na hana pa kwenda? Kwanini hamchukui hatua kwa kuifungulia Yanga kesi ya upangaji wa matokeo? Simba na mashabiki wake wote ni vilaza katika hili. Kulia lia mara wachezaji wa Simba wamenunuliwa tulipobamizwa goli tano mara sijui rushwa kwa timu pinzani wakati mna uwezo wa kufungua kesi kwa kuonesha ushahidi mlionao
 
Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.

Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.

Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.

Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.

Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.

Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.

Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.

Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.

Wasikilize wazee wa Simba hapa.

View attachment 3290239
Takukuru kazi yake ni Nini? Au nao wamezuiwa kufanya kazi na makomandoo wa Yanga?
 
Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.

Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.

Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.

Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.

Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.

Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.

Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.

Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.

Wasikilize wazee wa Simba hapa.

View attachment 3290239
Naunga mkono kama. mdau wa kabumbu
 
Imagine mpaka mtu aliyepewa cheo kikubwa kama cha Mkuu wa Mkoa, na yeye ana akili finyu kama hii ya kwako. Na mkiambiwa mtoe ushahidi, hamna! Ila muda wote ni kubweka bweka tu.

Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu.
 
Calculator FC. Ghafla nimekumbuka walivyokuwa wakipiga mahesabu ya robo fainali yakabuma😁😁😁. Mashindano ya nje hayana longolongo hujui Mpira unapigwa. Mpaka wabadilike ndio wataiona robo ya pili lakini Kwa mtindo huu WA upangaji matokeo wasahau🤓
 
Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.

Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.

Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.

Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.

Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.

Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.

Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.

Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.

Wasikilize wazee wa Simba hapa.

View attachment 3290239
🗑🗑🗑🔒
 
Zinabebwa tu zote.
Simba na Yanga.

Marefa marefa mrefa ndio instruments za kutekeleza hayo.

Simba amepata penalties 12 kama sikosei...ana wastan wa kupata penalty kila baada ya mechi 2..
Wakati huo hakuna penalty hata moja iliyowahi kuelekezwa kwake.
Sio kiashiria kizuri.

Mbona confederation cup hayo hayajitokezi.

Hata Yanga mechi yake na Tabora ubao ulitakiwa usomeke Yanga 0-3 Tabora.
Goli la mzize lilikuwa nje ya muda.
Hata penalty ya Yanga haikuwa halali.
 
Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.

Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.

Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.

Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.

Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.

Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.

Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.

Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.

Wasikilize wazee wa Simba hapa.

View attachment 3290239
Una ushahidi wa hayo uliyoyasema?
 
Sajilini wachezaji wa maana acheni propaganda kwenye mpira. Yanga anajua nini maana ya investment kwenye football sasa Madu mnaleta siasa kwenye boli na hampo tayari kuambiwa hamna timu ya maana
 
Akili ya watanzaniai bwana. Watu watumie mamilioni kusajili wachezaji, watumie mamilioni kulipa wachezaji, wafukuze makocha kama timu ikipata matokeo mabaya, halafu eti ushindi wao upatikane tu kwa kuhonga. Sasa si wangesajili tu wachezaji wa kawaida na kocha wa kawaida waendelee kusambaza bahasha kama kungekuwa na ukweli?
Huu ni uongo na wala kama yanga ingekuwa inategema bahasha isingekuwa inamendea hata wachezaji wenu nyinyi.
 
Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.

Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.

Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.

Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.

Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.

Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.

Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.

Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.

Wasikilize wazee wa Simba hapa.

View attachment 3290239
Umbumbumbu Kazi sana
 
Yanga ni club ndogo sana ambayo haina umaarufu nje ya nchi , ni maarufu tu humuhumu ndani ya nchi ngazi za wilaya, kwahiyo haiwezi kushusha hadhi ya mpira wa Tanzania Simba inafanya vizuri katika kutunza heshima ya nchi
 
Akili ya watanzaniai bwana. Watu watumie mamilioni kusajili wachezaji, watumie mamilioni kulipa wachezaji, wafukuze makocha kama timu ikipata matokeo mabaya, halafu eti ushindi wao upatikane tu kwa kuhonga. Sasa si wangesajili tu wachezaji wa kawaida na kocha wa kawaida waendelee kusambaza bahasha kama kungekuwa na ukweli?
Huu ni uongo na wala kama yanga ingekuwa inategema bahasha isingekuwa inamendea hata wachezaji wenu nyinyi.
Katika Africa Mashariki na Kati, Tanzania ndio Ina wajinga wajinga wengi ujue
 
Back
Top Bottom