Ligi ya Tanzania inaenda kuporomoka kwa kasi sana

Ligi ya Tanzania inaenda kuporomoka kwa kasi sana

Hivi kwanini mnaishiaga kupiga kelele kama mwanamke anayenyanyaswa na mumewe ndani ya nyumba na hana pa kwenda? Kwanini hamchukui hatua kwa kuifungulia Yanga kesi ya upangaji wa matokeo? Simba na mashabiki wake wote ni vilaza katika hili. Kulia lia mara wachezaji wa Simba wamenunuliwa tulipobamizwa goli tano mara sijui rushwa kwa timu pinzani wakati mna uwezo wa kufungua kesi kwa kuonesha ushahidi mlionao
Ulivyoandika imeonyesha namna ulivyo mbumbumbu kwenye mambo ya mprira na rushwa ya mpira.

Wanaume wa mpira wa Afrika walikuwa wanacheza jana kombe CAF Championship
Screenshot_20250402_100333_OneFootball.jpg
Screenshot_20250402_100312_OneFootball.jpg
Na wengine wanacheza leo hawa hapa:-
Screenshot_20250402_100404_OneFootball.jpg


Kama timu yako haipo hapa basi ujue ushindi unaoupata kwenye LEAGUE ya ndani ni wa KIUJANJA UJANJA kama unabii wa Mwamposa au Geordavie
 
Ulivyoandika imeonyesha namna ulivyo mbumbumbu kwenye mambo ya mprira na rushwa ya mpira.

Wanaume wa mpira wa Afrika walikuwa wanacheza jana kombe CAF Championship
View attachment 3290944View attachment 3290945 Na wengine wanacheza leo hawa hapa:-
View attachment 3290947

Kama timu yako haipo hapa basi ujue ushindi unaoupata kwenye LEAGUE ya ndani ni wa KIUJANJA UJANJA kama unabii wa Mwamposa au Geordavie
Haijapita muda mrefu hapo ni msimu wa 2022/2023 Yanga ikicheza fainali na kushinda away dhidi ya USMA. vipi Simba ilicheza lini fainali ya kombe la CAF confederation cup? Miaka nenda rudi mpo pale pale tu kwenye hatua ya robo fainali halafu mnajisifia giant, giant hata profile ya mashindano ya makubwa ya CAFCC na CAFCL huja bahatika hata kuwa runner up.
YANGA-1-1024x683.jpg
 
Hivi Wanayanga ni kwanini timu yenu malanyingi haipiti mlango mkubwa inapo ingia kucheza mpira ?
Yanga kwa sasa ni kati ya timu kubwa inayumnikanaje mpitie mlango wa chooni kwenye mechi na Prisoni ?
 
Haijapita muda mrefu hapo ni msimu wa 2022/2023 Yanga ikicheza fainali na kushinda away dhidi ya USMA. vipi Simba ilicheza lini fainali ya kombe la CAF confederation cup? Miaka nenda rudi mpo pale pale tu kwenye hatua ya robo fainali halafu mnajisifia giant, giant hata profile ya mashindano ya makubwa ya CAFCC na CAFCL huja bahatika hata kuwa runner up.View attachment 3290963
Ukitaka kujua giants wa Africa tafuta CAF club ranking 2025. Hizo longolongo zingine utakuwa kama Mzee Mpli tu
Screenshot_20250402_124832_Google.jpg
 
Hivi kwanini mnaishiaga kupiga kelele kama mwanamke anayenyanyaswa na mumewe ndani ya nyumba na hana pa kwenda? Kwanini hamchukui hatua kwa kuifungulia Yanga kesi ya upangaji wa matokeo? Simba na mashabiki wake wote ni vilaza katika hili. Kulia lia mara wachezaji wa Simba wamenunuliwa tulipobamizwa goli tano mara sijui rushwa kwa timu pinzani wakati mna uwezo wa kufungua kesi kwa kuonesha ushahidi mlionao
Wazo zuri badala ya kulalamika kwenye mashuka ama mablanketi/ mablangeti
 
Back
Top Bottom