This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,198
- 5,454
Takukuru kazi yake ni Nini? Au nao wamezuiwa kufanya kazi na makomandoo wa Yanga?Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.
Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.
Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.
Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.
Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.
Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.
Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.
Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.
Wasikilize wazee wa Simba hapa.
View attachment 3290239
Naunga mkono kama. mdau wa kabumbuUkiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.
Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.
Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.
Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.
Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.
Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.
Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.
Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.
Wasikilize wazee wa Simba hapa.
View attachment 3290239
Imagine mpaka mtu aliyepewa cheo kikubwa kama cha Mkuu wa Mkoa, na yeye ana akili finyu kama hii ya kwako. Na mkiambiwa mtoe ushahidi, hamna! Ila muda wote ni kubweka bweka tu.Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.
Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.
Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.
Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.
Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.
Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.
Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.
Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.
Wasikilize wazee wa Simba hapa.
View attachment 3290239
🗑🗑🗑🔒Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.
Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.
Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.
Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.
Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.
Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.
Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.
Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.
Wasikilize wazee wa Simba hapa.
View attachment 3290239
kwa kariamitano tena
Una ushahidi wa hayo uliyoyasema?Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.
Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.
Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.
Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.
Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.
Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.
Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.
Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.
Wasikilize wazee wa Simba hapa.
View attachment 3290239
Sajilini wachezaji wa maana acheni propaganda kwenye mpira. Yanga anajua nini maana ya investment kwenye football sasa Madu mnaleta siasa kwenye boli na hampo tayari kuambiwa hamna timu ya maanaUkiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.
Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.
Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.
Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.
Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.
Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.
Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.
Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.
Wasikilize wazee wa Simba hapa.
View attachment 3290239
Umbumbumbu Kazi sanaUkiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.
Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.
Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.
Yanga kwa sasa ni kikundi cha wahundi wanaojinasibu timu ya mpira.
Gsm ni mdhamini wa Yanga ,Rais wa Yanga ni mfanyakazi wa Gsm, Gsm ni mdhamini wa timu nyingine 7 katka ligi moja.
Gsm ambae ni mdhamini wa Yanga pamoja na viongozi wa Yanga wanakaa mezani kwa chakula cha mchana na timu pinzani ambayo mnaenda kucheza mechi masaa manne yajayo. Upangaji wa matokeo.
Juzi 2012 ...Simba 5-0 Yanga. Kama timu yako haijawahi kufungwa goli 5 na Simba jitokeze hapa.
Yanga siyo timu ya mpira kwa sasa.
Wasikilize wazee wa Simba hapa.
View attachment 3290239
Katika Africa Mashariki na Kati, Tanzania ndio Ina wajinga wajinga wengi ujueAkili ya watanzaniai bwana. Watu watumie mamilioni kusajili wachezaji, watumie mamilioni kulipa wachezaji, wafukuze makocha kama timu ikipata matokeo mabaya, halafu eti ushindi wao upatikane tu kwa kuhonga. Sasa si wangesajili tu wachezaji wa kawaida na kocha wa kawaida waendelee kusambaza bahasha kama kungekuwa na ukweli?
Huu ni uongo na wala kama yanga ingekuwa inategema bahasha isingekuwa inamendea hata wachezaji wenu nyinyi.