Ulivyoandika imeonyesha namna ulivyo mbumbumbu kwenye mambo ya mprira na rushwa ya mpira.Hivi kwanini mnaishiaga kupiga kelele kama mwanamke anayenyanyaswa na mumewe ndani ya nyumba na hana pa kwenda? Kwanini hamchukui hatua kwa kuifungulia Yanga kesi ya upangaji wa matokeo? Simba na mashabiki wake wote ni vilaza katika hili. Kulia lia mara wachezaji wa Simba wamenunuliwa tulipobamizwa goli tano mara sijui rushwa kwa timu pinzani wakati mna uwezo wa kufungua kesi kwa kuonesha ushahidi mlionao
Haijapita muda mrefu hapo ni msimu wa 2022/2023 Yanga ikicheza fainali na kushinda away dhidi ya USMA. vipi Simba ilicheza lini fainali ya kombe la CAF confederation cup? Miaka nenda rudi mpo pale pale tu kwenye hatua ya robo fainali halafu mnajisifia giant, giant hata profile ya mashindano ya makubwa ya CAFCC na CAFCL huja bahatika hata kuwa runner up.Ulivyoandika imeonyesha namna ulivyo mbumbumbu kwenye mambo ya mprira na rushwa ya mpira.
Wanaume wa mpira wa Afrika walikuwa wanacheza jana kombe CAF Championship
View attachment 3290944View attachment 3290945 Na wengine wanacheza leo hawa hapa:-
View attachment 3290947
Kama timu yako haipo hapa basi ujue ushindi unaoupata kwenye LEAGUE ya ndani ni wa KIUJANJA UJANJA kama unabii wa Mwamposa au Geordavie
Ukitaka kujua giants wa Africa tafuta CAF club ranking 2025. Hizo longolongo zingine utakuwa kama Mzee Mpli tuHaijapita muda mrefu hapo ni msimu wa 2022/2023 Yanga ikicheza fainali na kushinda away dhidi ya USMA. vipi Simba ilicheza lini fainali ya kombe la CAF confederation cup? Miaka nenda rudi mpo pale pale tu kwenye hatua ya robo fainali halafu mnajisifia giant, giant hata profile ya mashindano ya makubwa ya CAFCC na CAFCL huja bahatika hata kuwa runner up.View attachment 3290963
Rank zinabadilika kila msimu, na huwezi kukuta rank ikiweka kwenye profile ya timu bali ni medi na mataji (Honours)Ukitaka kujua giants wa Africa tafuta CAF club ranking 2025. Hizo longolongo zingine utakuwa kama Mzee Mpli tu
View attachment 3291075
Wazo zuri badala ya kulalamika kwenye mashuka ama mablanketi/ mablangetiHivi kwanini mnaishiaga kupiga kelele kama mwanamke anayenyanyaswa na mumewe ndani ya nyumba na hana pa kwenda? Kwanini hamchukui hatua kwa kuifungulia Yanga kesi ya upangaji wa matokeo? Simba na mashabiki wake wote ni vilaza katika hili. Kulia lia mara wachezaji wa Simba wamenunuliwa tulipobamizwa goli tano mara sijui rushwa kwa timu pinzani wakati mna uwezo wa kufungua kesi kwa kuonesha ushahidi mlionao
Hizo siyo ranking!! Hata kama ni ranking za siku moja zilete hapaRank zinabadilika kila msimu, na huwezi kukuta rank ikiweka kwenye profile ya timu bali ni medi na mataji (Honours)View attachment 3291089