Pia, TFF ipunguze u Simba na Uyanga. hizi timu pia zinaharibu sola letu,Jumlisha na waamuzi mkuu, sijui njaa au viwango wanatuharibia sana soka letu.
Ndo maana kimataifa hatufiki mbali ,imagine nguvu inayowekwa Simba na Yanga ingekuwa nayo Biashara na ilivyojiandaa kimataifa ingefika mbaliPia, TFF ipunguze u Simba na Uyanga. hizi timu pia zinaharibu sola letu,
Kimataifa wasiofika mbali ni yanga tu Simba usiwaweke hapo.Ndo maana kimataifa hatufiki mbali ,imagine nguvu inayowekwa Simba na Yanga ingekuwa nayo Biashara na ilivyojiandaa kimataifa ingefika mbali
Ifikie mahali CCM eidha waendeleze hivi viwanja au vikabidhiwe kwa baraza la michezo, nadhani itakuwa hatua muhimu sana katika sekta ya michezo hapa TanzaniaShida viwanja karibu vyote unavyoviona CCM imepora kwa wananchi maana vilitakiwa virudi serikalini viwe chini ya Baraza la michezo kwa sababu vingi vilijengwa wakati wa chama kimoja na nguvu kazi na rasilimali zingine zilizotumika ni za umma.sasa wao hawaviendelezi wao wanatumia kwaajili ya siasa
Itoe hapo simbaNdo maana kimataifa hatufiki mbali ,imagine nguvu inayowekwa Simba na Yanga ingekuwa nayo Biashara na ilivyojiandaa kimataifa ingefika mbali