Wanabodi.
Niko naamgalia mpira wa Azam VS Namungo, kiukweli hii ni moja ya Big, very big match.
Wachezaji wanaonesha ubora mkubwa sana, lakini ubora huu unachaguzwa na kiwanja bora kabsa cha Azam Complex.
Kimsingi, timu zimejiandaa vyema kwa ajili ya NBC league. Lakin kikubwa zaidi ushindani huu unaonesha ubora wa League yetu.
Wito wangu.
Kwakuwa viwanja vingi nivya CCM, tunaomba chama hiki kijikite kuboresha viwanja walau pitchi ziwe na ubora/ standard kwa fooyball.
Ni wakati wa CCM kuwekeza kwenye jamaa moja kwa moja na sio kununua ma V - Eighty