Ligi ya Tanzania ni bora sana, tunaangushwa na ukosefu wa viwanja hasa mikoani.

Ligi ya Tanzania ni bora sana, tunaangushwa na ukosefu wa viwanja hasa mikoani.

Lubengera

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2019
Posts
963
Reaction score
1,551
Wanabodi.

Niko naamgalia mpira wa Azam VS Namungo, kiukweli hii ni moja ya Big, very big match.

Wachezaji wanaonesha ubora mkubwa sana, lakini ubora huu unachaguzwa na kiwanja bora kabsa cha Azam Complex.

Kimsingi, timu zimejiandaa vyema kwa ajili ya NBC league. Lakin kikubwa zaidi ushindani huu unaonesha ubora wa League yetu.

Wito wangu.

Kwakuwa viwanja vingi nivya CCM, tunaomba chama hiki kijikite kuboresha viwanja walau pitchi ziwe na ubora/ standard kwa fooyball.

Ni wakati wa CCM kuwekeza kwenye jamaa moja kwa moja na sio kununua ma V - Eighty
 
Ni kwel kabisa lig letu ni bora lakin viwanja ndy hatuna,gem ya namungo na azam ilkuw nzur san
Viwanja ving vinamilikiwa na chama alaf hawaviboresh ,Itapendeza san hiv viwanja vingekuw chin ya umilik wa serikal ili vitengewe bajet hata ya ukarabat na manunuz ya nyas bandia viwe kam ile pitch ya azam au ule uwanja wa black rhyno wa kule karatu
Soka linaajir vijana wengi saiz lakin viwanja ni changamoto kwenye nchi yetu
 
Pia, TFF ipunguze u Simba na Uyanga. hizi timu pia zinaharibu sola letu,
Ndo maana kimataifa hatufiki mbali ,imagine nguvu inayowekwa Simba na Yanga ingekuwa nayo Biashara na ilivyojiandaa kimataifa ingefika mbali
 
Bodi ya ligi ni jipu kubwa, viwanja vingi havifai Kama mkwakwani, jamhuri dodoma, karume Mara ila wanafanya siasa kuviruhusu
 
Shida viwanja karibu vyote unavyoviona CCM imepora kwa wananchi maana vilitakiwa virudi serikalini viwe chini ya Baraza la michezo kwa sababu vingi vilijengwa wakati wa chama kimoja na nguvu kazi na rasilimali zingine zilizotumika ni za umma.sasa wao hawaviendelezi wao wanatumia kwaajili ya siasa
 
Ifikie mahali CCM eidha waendeleze hivi viwanja au vikabidhiwe kwa baraza la michezo, nadhani itakuwa hatua muhimu sana katika sekta ya michezo hapa Tanzania
 
Ccm iachie hivyo viwanja walivyopora kwa wananchi kwani hawana kabisa haki wala uhalali wa kumiliki hivyo viwanja.
 
Back
Top Bottom