maufoungph
Member
- Oct 16, 2018
- 73
- 164
Promo ni kubwa sana pamoja na mikataba mikubwa ya tvKwanini Ligi ya uingireza inapendwa/inamashabiki wengi na ipo kibiashara zaidi kuliko Ligi zote duniani wakati zipo Ligi zenye wachezaji wenye ubora na viwango vikubwa kuliuingereza?
Sent using Jamii Forums mobile app
TOA MFANO HAPA
zipo Ligi zenye wachezaji wenye ubora na viwango vikubwa kuliko wa uingereza?
"Not everything is for everybody"
Kwanini Ligi ya uingireza inapendwa/inamashabiki wengi na ipo kibiashara zaidi kuliko Ligi zote duniani wakati zipo Ligi zenye wachezaji wenye ubora na viwango vikubwa kuliko wa uingereza?
Sent using Jamii Forums mobile app
unawezaje fanananisha vipaji vya La Liga au serie A na PL? au unaziona top teams za Germany na France ?
unajua hii hoja ligi ya Uingereza kubebwa zaidi na umaarufu pamoja na mikataba minono nimeshazisikia kwa takribani miaka 18 tokea nianze kufuatilia soka la ulaya.Waingereza wamefanikiwa kuitangaza ligi yao kama walivyoweza kulitangaza taifa lao kisiasa.
unajua hii hoja ligi ya Uingereza kubebwa zaidi na umaarufu pamoja na mikataba minono nimeshazisikia kwa takribani miaka 18 tokea nianze kufuatilia soka la ulaya.
messi, ronaldo, deco, gaucho, raul, hierro, makelele, figo,iniesta, xavi, zidane, batistuta, sedoff, edgar davids, nedved, veron, maradona, sneijder, beckham, michael owen, del piero, etoo, de lima n.k
hawa wote kwa nyakati tofauti wamecheza la liga na serie A lakini bado ligi ya uingereza imeendelewa kuwa na ushawishi licha ya kupita kwa nyota wachache sana (ronaldo pekee ndiye mshindi wa ballon)
mkuu kwa uzoefu wako unadhani kwa nini mataifa mengine yanashindwa kufuata mkondo huo?
View attachment 1433620
Waingereza wamefanikiwa kuitangaza ligi yao kama walivyoweza kulitangaza taifa lao kisiasa.
unajua hii hoja ligi ya Uingereza kubebwa zaidi na umaarufu pamoja na mikataba minono nimeshazisikia kwa takribani miaka 18 tokea nianze kufuatilia soka la ulaya.
messi, ronaldo, deco, gaucho, raul, hierro, makelele, figo,iniesta, xavi, zidane, batistuta, sedoff, edgar davids, nedved, veron, maradona, sneijder, beckham, michael owen, del piero, etoo, de lima n.k
hawa wote kwa nyakati tofauti wamecheza la liga na serie A lakini bado ligi ya uingereza imeendelewa kuwa na ushawishi licha ya kupita kwa nyota wachache sana (ronaldo pekee ndiye mshindi wa ballon)
mkuu kwa uzoefu wako unadhani kwa nini mataifa mengine yanashindwa kufuata mkondo huo?
Sikuelewa hili swali km linanihusu mimi, sina chochte nachokijua ndio maana nli-share swali hili ili niweze kuelewa na nlijua tu km yatatokea maswali mengne ndani ya swali hili naamin ntakuja elewa zaidi.unajua hii hoja ligi ya Uingereza kubebwa zaidi na umaarufu pamoja na mikataba minono nimeshazisikia kwa takribani miaka 18 tokea nianze kufuatilia soka la ulaya.
messi, ronaldo, deco, gaucho, raul, hierro, makelele, figo,iniesta, xavi, zidane, batistuta, sedoff, edgar davids, nedved, veron, maradona, sneijder, beckham, michael owen, del piero, etoo, de lima n.k
hawa wote kwa nyakati tofauti wamecheza la liga na serie A lakini bado ligi ya uingereza imeendelewa kuwa na ushawishi licha ya kupita kwa nyota wachache sana (ronaldo pekee ndiye mshindi wa ballon)
mkuu kwa uzoefu wako unadhani kwa nini mataifa mengine yanashindwa kufuata mkondo huo?
View attachment 1433620
Umefnya utafiti nini kimekufnya mpk ukajibu ivi?nchi nyingi PL inazokubalika ni makoloni ya Waingereza.
hapana, hilo swali nimemuuliza jamaa hapo juu
Ali haji pandu
niliwahi kumuona nyakati zake za mwishoni mwa uhai wake......mzee ameacha taathira kubwa sana ya uanaharakati wa haki na usawa kwa tabaka zoteNdio kabisa
Yan lengo langu npate maelezo yakutosheleza,kama kuita gaza wanaitangza vp wkt tunaona haya ligi zingne zinafanya ivo.
Sent using Jamii Forums mobile app