Ligi ya Uingereza ina tofauti gani na Ligi zingine duniani?

Ligi ya Uingereza ina tofauti gani na Ligi zingine duniani?

Ligi nyingine timu kubwa zinaenda na uhakika wa kuchukua point 3 kama ilivyo kwa Simba, Yanga hapa bongo.

Inamaana ikitokea kapoteza inakua mada.

PL haipo hivo. Yaani Ligi haitabiriki, unakumbuka msimu Leicester anabeba ndoo?

"Not everything is for everybody"

kwani Liverpool hachukui kwa uhakika? kabakisha mechi mbili kutangazwa ubingwa huku ligi nyengine zikiendelea na mchuano mkali
 
kwani Liverpool hachukui kwa uhakika? kabakisha mechi mbili kutangazwa ubingwa huku ligi nyengine zikiendelea na mchuano mkali
Hiyo ni mada nyingine, tubaki kwenye mada ya kwanini Ligi ya Uingereza inapendwa zaidi. Jibu sahihi ni ushindani na haitabiriki

"Not everything is for everybody"
 
Hiyo ni mada nyingine, tubaki kwenye mada ya kwanini Ligi ya Uingereza inapendwa zaidi. Jibu sahihi ni ushindani na haitabiriki

"Not everything is for everybody"

Mada ni hiyo hiyo mkuu

Naendelea kukuhoji, hiyo hoja ya kuwa haitabiriki tufafanulie
 
Ushindan wa epl kwa miaka mingi imekuwa na ushindan ukitoa mwaka huu ambao Liverpool ndo katawala

Lkn ukiangalia miaka mingine bingwa anakuj kupatikan zimebaki mechi mbil au tatu,
 
Ligi nyingine timu kubwa zinaenda na uhakika wa kuchukua point 3 kama ilivyo kwa Simba, Yanga hapa bongo.

Inamaana ikitokea kapoteza inakua mada.

PL haipo hivo. Yaani Ligi haitabiriki, unakumbuka msimu Leicester anabeba ndoo?

"Not everything is for everybody"
Sasa topic inasemaje? Tunaongelea ubora wa ligi na sio ubora wa teams, kufungwa kwa team ni udhaifu wao binafs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom