Ligi nyingine timu kubwa zinaenda na uhakika wa kuchukua point 3 kama ilivyo kwa Simba, Yanga hapa bongo.
Inamaana ikitokea kapoteza inakua mada.
PL haipo hivo. Yaani Ligi haitabiriki, unakumbuka msimu Leicester anabeba ndoo?
"Not everything is for everybody"
kwani Liverpool hachukui kwa uhakika? kabakisha mechi mbili kutangazwa ubingwa huku ligi nyengine zikiendelea na mchuano mkali