unajua hii hoja ligi ya Uingereza kubebwa zaidi na umaarufu pamoja na mikataba minono nimeshazisikia kwa takribani miaka 18 tokea nianze kufuatilia soka la ulaya.
messi, ronaldo, deco, gaucho, raul, hierro, makelele, figo,iniesta, xavi, zidane, batistuta, sedoff, edgar davids, nedved, veron, maradona, sneijder, beckham, michael owen, del piero, etoo, de lima n.k
hawa wote kwa nyakati tofauti wamecheza la liga na serie A lakini bado ligi ya uingereza imeendelewa kuwa na ushawishi licha ya kupita kwa nyota wachache sana (ronaldo pekee ndiye mshindi wa ballon)
mkuu kwa uzoefu wako unadhani kwa nini mataifa mengine yanashindwa kufuata mkondo huo?
View attachment 1433620