niliwahi kumuona nyakati zake za mwishoni mwa uhai wake......mzee ameacha taathira kubwa sana ya uanaharakati wa haki na usawa kwa tabaka zote
Kutotabirika ndio ubora wa ligi kuu ya uingereza ligi nyingine timu kubwa kufungwa ni vigumu sana ila uingereza chochote linaweza tokea....
Sent using Jamii Forums mobile app
JIBU HILI HAPAKutotabirika ndio ubora wa ligi kuu ya uingereza ligi nyingine timu kubwa kufungwa ni vigumu sana ila uingereza chochote linaweza tokea....
Sent using Jamii Forums mobile app
Liver kapigwa 3 - 0 na WatfordMkuu Hivi City katika miaka miwili iliopita alifungika?
Liverpool je mwaka huu anafungika?
hizo hoja zisizo na mashiko mkuu
Mbona City alipigwa na Manchester UnitedMkuu Hivi City katika miaka miwili iliopita alifungika?
Liverpool je mwaka huu anafungika?
hizo hoja zisizo na mashiko mkuu
long time no see brother......natumai ni mzima wa afya ya kimwili, kiroho, kifikra na hata kimaishaKutotabirika ndio ubora wa ligi kuu ya uingereza ligi nyingine timu kubwa kufungwa ni vigumu sana ila uingereza chochote linaweza tokea....
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu hiyo picha!unajua hii hoja ligi ya Uingereza kubebwa zaidi na umaarufu pamoja na mikataba minono nimeshazisikia kwa takribani miaka 18 tokea nianze kufuatilia soka la ulaya.
messi, ronaldo, deco, gaucho, raul, hierro, makelele, figo,iniesta, xavi, zidane, batistuta, sedoff, edgar davids, nedved, veron, maradona, sneijder, beckham, michael owen, del piero, etoo, de lima n.k
hawa wote kwa nyakati tofauti wamecheza la liga na serie A lakini bado ligi ya uingereza imeendelewa kuwa na ushawishi licha ya kupita kwa nyota wachache sana (ronaldo pekee ndiye mshindi wa ballon)
mkuu kwa uzoefu wako unadhani kwa nini mataifa mengine yanashindwa kufuata mkondo huo?
View attachment 1433620
Liver kapigwa 3 - 0 na Watford
"Not everything is for everybody"
Top Coaches wote wapo PL jiulize kwanini?
"Not everything is for everybody"
Sababu zangu.unajua hii hoja ligi ya Uingereza kubebwa zaidi na umaarufu pamoja na mikataba minono nimeshazisikia kwa takribani miaka 18 tokea nianze kufuatilia soka la ulaya.
messi, ronaldo, deco, gaucho, raul, hierro, makelele, figo,iniesta, xavi, zidane, batistuta, sedoff, edgar davids, nedved, veron, maradona, sneijder, beckham, michael owen, del piero, etoo, de lima n.k
hawa wote kwa nyakati tofauti wamecheza la liga na serie A lakini bado ligi ya uingereza imeendelewa kuwa na ushawishi licha ya kupita kwa nyota wachache sana (ronaldo pekee ndiye mshindi wa ballon)
mkuu kwa uzoefu wako unadhani kwa nini mataifa mengine yanashindwa kufuata mkondo huo?
View attachment 1433620
Nimekusoma sanaSababu zangu.
1. Ukoloni nchi zote zilizokuwa chini ya utawala wa Uingereza zimekuwa assimilated kwa kiwango kikubwa sana na utamaduni Uingereza hivyo kitu cha kwanza huwa zinaitazama Uingereza kama first option kabla ya kuangalia sehemu nyingine.
2. Uingereza imefanikiwa kuiturn ligi yao kuwa sehemu ya mfumo rasmi wa maisha ya watu na kuwafanya watu waone radha halisi ya football akiangalia mechi za uingereza.
a football contest
b Business contest
3. Media zimefanya kazi kubwa sana kuibrand ligi ya uingereza na hivyo kuifanya iwe popular sana kwa kila mtu.
4. Technical quality ya timu moja moja katika EPL ni ya hali ya juu sana kuanzia kwenye ligi za chini mpaka huko juu ndiyo maana ukiangalia Ligi ya Uingereza unapata vitu vyote unavyovitaka kwenye mpira.
5. Uwekezaji katika vilabu vingi ni mkubwa kuliko ligi zingine ndiyo maana hata vilabu vya ligi zingine zinaitazama EPL kama soko la talents wanazozalisha huko upenuni.
6. Ukiondoa ligi ya Ufaransa ligi zingine zimejengwa katika mifumo ya kisiasa zaidi kuliko football na business hivyo Uingereza ni best destination ya investments katika football kuliko other leagues.
7. Tusisahau pia kuwa Uingereza ndiyo nchi ya kwanza kufanya initiative za kutengeneza rules of the game.
Haya ni maoni ya shabiki kindakindaki wa EPL na Manchester United.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Ligi zingene wanakwama wapi ku-brand ligi zao.✓Liverpool
✓Man City
✓Chelsea
✓Man United
✓Everton
✓Arsenal
Na sasa Newcastle
Wote hapo juu wanauwezo wa kusajili mchezaji kwa £50m and above..Kwenye ligi nyingine unakuta ni klabu chache tu zente uwezo huo..
Walichofanya waingereza ni kubrand ligi yao na kuwa maarafu na kutengeneza hela..na wametumia hela hizo kuendelea kubaki juu..Angalia hata sasa makocha bora wote wapo England
Pia Uingereza ni taifa lenye nguvu kisiasa n.k..so maybe wametumia pia hiyo chansi kuinfluence baadhi ya mambo in their own interest
Umeandika Liva anafungika?kwahiyo hizo ligi nyengine kuna timu humaliza ligi unbeaten kila msimu?
Mkuu nikipotea kidogo kutokana na majukumu nimerudi rasmi ....long time no see brother......natumai ni mzima wa afya ya kimwili, kiroho, kifikra na hata kimaisha
Umeandika Liva anafungika?
"Not everything is for everybody"
Kwani maana ya kufungika ni nini?Sasa kufungwa mechi moja kwenye ligi nzima wewe ndio unafungika?
Kwani maana ya kufungika ni nini?
"Not everything is for everybody"
Ligi nyingine timu kubwa zinaenda na uhakika wa kuchukua point 3 kama ilivyo kwa Simba, Yanga hapa bongo.sasa mnaposema ligi ya England timu kubwa zinafungika je ligi nyengine timu kubwa hazifungiki?
Hebu tizama misimamo ya ligi zote kubwa za ulaya utizame timu gani kati ya zinazoongoza ligi imefungwa mechi kodogo