Ligi nyingine timu kubwa zinaenda na uhakika wa kuchukua point 3 kama ilivyo kwa Simba, Yanga hapa bongo.
Inamaana ikitokea kapoteza inakua mada.
PL haipo hivo. Yaani Ligi haitabiriki, unakumbuka msimu Leicester anabeba ndoo?
"Not everything is for everybody"
Hiyo ni mada nyingine, tubaki kwenye mada ya kwanini Ligi ya Uingereza inapendwa zaidi. Jibu sahihi ni ushindani na haitabirikikwani Liverpool hachukui kwa uhakika? kabakisha mechi mbili kutangazwa ubingwa huku ligi nyengine zikiendelea na mchuano mkali
Hiyo ni mada nyingine, tubaki kwenye mada ya kwanini Ligi ya Uingereza inapendwa zaidi. Jibu sahihi ni ushindani na haitabiriki
"Not everything is for everybody"
Sasa topic inasemaje? Tunaongelea ubora wa ligi na sio ubora wa teams, kufungwa kwa team ni udhaifu wao binafsLigi nyingine timu kubwa zinaenda na uhakika wa kuchukua point 3 kama ilivyo kwa Simba, Yanga hapa bongo.
Inamaana ikitokea kapoteza inakua mada.
PL haipo hivo. Yaani Ligi haitabiriki, unakumbuka msimu Leicester anabeba ndoo?
"Not everything is for everybody"