Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Timu zote 20 za Ligi Kuu ya England, EPL, Novemba 30 mwaka huu zitaungana katika harakati za kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na usagaji.
Katika kufanya hivyo, wachezaji wote watavaa vitambaa vyenye rangi maalumu za ushoga na usagaji kama zinavyoonekana hapo kwenye picha.
Tukio kama hilo litajirudia tena Disemba 5 mwaka huu ambapo vibendera vyote vya uwanjani, vitambaa vya manahodha, kimeza cha kuwekea mpira, bango la sehemu ya wachezaji kupeana mikono pamoja na kibao cha dakika za nyongeza na kubadilishia wachezaji, vyote vitakuwa na rangi za ushoga na usagaji.
Mabango ya matangazo uwanjani pamoja TV kubwa za uwanjani, vyote vitakuwa na matangazo ya kuhamasisha na kuunga mkono vitendo vya ushoga na usagaji.[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
DUNIA INAZIDI KUANGAMIA KILA SIKU

[emoji1484]
DUNIA INAZIDI KUANGAMIA KILA SIKU