Ligi ya Uingereza kuanza kuunga mkono Ushoga tarehe 30 Novemba

Ligi ya Uingereza kuanza kuunga mkono Ushoga tarehe 30 Novemba

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Timu zote 20 za Ligi Kuu ya England, EPL, Novemba 30 mwaka huu zitaungana katika harakati za kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na usagaji.

Katika kufanya hivyo, wachezaji wote watavaa vitambaa vyenye rangi maalumu za ushoga na usagaji kama zinavyoonekana hapo kwenye picha.

Tukio kama hilo litajirudia tena Disemba 5 mwaka huu ambapo vibendera vyote vya uwanjani, vitambaa vya manahodha, kimeza cha kuwekea mpira, bango la sehemu ya wachezaji kupeana mikono pamoja na kibao cha dakika za nyongeza na kubadilishia wachezaji, vyote vitakuwa na rangi za ushoga na usagaji.

Mabango ya matangazo uwanjani pamoja TV kubwa za uwanjani, vyote vitakuwa na matangazo ya kuhamasisha na kuunga mkono vitendo vya ushoga na usagaji.[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]

[emoji1484]
IMG-20181115-WA0023.jpeg
IMG-20181115-WA0019.jpeg
IMG-20181115-WA0021.jpeg


DUNIA INAZIDI KUANGAMIA KILA SIKU
 
MECHI HUSIKA
1. Novemba 30
Cardiff City vs Wolves

2. Disemba 5
Fulham vs Leicester City
Wolves vs Chelsea

Burnley vs Liverpool

Everton vs Newcastle Utd.

Manchester United vs Arsenal

Tottenham vs Southampton
 
Tatizo kubwa la mtu mweusi akili yake ndogo, hakuna namna ya kuwapinga hawa. Hebu fikiria mtu anaacha ubunge kwa hoja ya mgogoro ndani ya chama, sasa inahusiana nini na uwakilishi bungeni?. Kama tumekubali kuchukua tamaduni zao mbali mbali, ikiwemo dini, sioni Africa ikilikwepa hili.
 
Siku za mwshon mwanadamu atatenda sana uovu juu ya uso wa dunia,
atakua na maarifa makubwa sana kias cha kwamba ad kumkosoa muumba wake (kuna nyuz nyng sana umu kuhusu ujuaji)

2020 kiama kama unataka kubisha kabishane
 
Huu mkakati wanausuka, hali itazidi kuwa mbaya watakapoanza kufundisha mashuleni kwani sio mbali
Walianza kufundisha sex mashuleni watoto wakapeana mimba sana, wakaona wamekosea sana kuzalishana huko.

Sasa darasa linabadilishwa na kuwa somo la ushoga.

Mwisho watoto wenu pia wata download app ya kujifunza ushoga

Laana hii wameivalia njuga maana kama wameweza kuuza makanisa na kuwafanya watu wasiamini tena Mungu na kujishughulisha na haya, tumekwisha.

Kila mtu alee watoto wake kwa maadili
Wao ni wao na sisi ni sisi
 
Mimi binafsi mkuu sipendi kabisa ushoga na mambo yanayofanana na hayo ila naheshimu sana haki na uhuru wa watu wa kujipa furahaa kupitia miili yao!
Naelewa hilo. That's fine.

Kila mtu akiishi maisha yake bila kumbugudhi mwingine, basi maisha yatakuwa mepesi madhali tu kwamba hakuna haki ya mtu iliyovunjwa.

Lakini tukitaka kuanza kukagua marinda ya watu kujua, hapo ndipo malumbano yanapoanza.
 
Wazungu hao hao mbona wanasimama kumtetea mtu mweusi mara nyingi.

Kwenye hiyo ligi yao wamekwishavaa mabango ya stop racism mara nyingi tu kusimama na mtu mweusi ambaye ndio hubaguliwa kuliko mwanadamu yoyote.

Sababu wanaona ni uonevu kumbagua mtu sababu tu ya rangi ambayo hakujichagulia kuzaliwa nayo.

Kwenye ushoga hivyo hivyo, hakuna mtu anayezaliwa mzima halafu aje kuwa shoga kwa kupenda, sio ishu voluntary kabisa.

So pia kumbagua mtu sababu ya hali yake ya kimaumbile ambayo hana control nayo, pia ni ubaguzi.

Wazungu nawaelewa sana, hawaamui kwa kutumia emotions zao, ama kwa kutumia sijui imani za dini ambazo ni hadithi tu za miaka hiyo, bali reason na emphathy .

Tukienda kidin ama kihisia pia kuna watu wanaweza ku argue mtu mweusi anafaa kuwa mtumwa sababu alilaaniwa sijui na mungu na blah blah kibao...

Ila binadamu wote ni sawa, tusitumie hisia binafsi ama dini kutoa maamuzi, bali reason zilizokuwa based na research la sivyo dunia itakua sehemu ya hovyo sana.
 
Naelewa hilo. That's fine.

Kila mtu akiishi maisha yake bila kumbugudhi mwingine, basi maisha yatakuwa mepesi madhali tu kwamba hakuna haki ya mtu iliyovunjwa.

Lakini tukitaka kuanza kukagua marinda ya watu kujua nani anafirwa na nani hafirwi, hapo ndipo malumbano yanapoanza.
Kukagua marinda ya watu ndiyo akili ndogo hiyo,kama watu wazima wawili na akili zao timamu wamehamua kwenda kupeana rahaa zao za kushikana ukuta huko tena hata siyo mbele yangu inanihusu nini mimi hata nikaingilie??!!
 
HIZI NDIZO HADITHI ZA AKINA MWAKIPESILE ZINAZOTUMIWA KUPINGA USHOGA.

I'M ACTUALLY SURPRISED WITH THIS KIND OF REASONING.

NI LINI WATU WAMELAZIMISHWA KUWA MASHOGA?
Kuna mahali nimeandika "wamelazimishwa?
Kama unakubaliana na ushoga ni msimamo wako huo
Unajua ya kuwa 2020 UK wanaanza kufundisha ushoga mashuleni kuanzia umri wa miaka 4?
Na hii ndio lazima sasa
 
Kukagua marinda ya watu ndiyo akili ndogo hiyo,kama watu wazima wawili na akili zao timamu wamehamua kwenda kupeana rahaa zao za kushikana ukuta huko tena hata siyo mbele yangu inanihusu nini mimi hata nikaingilie??!!
Ushoga umekuwa kama ni silaha ya kuwaumiza na kuwadhihaki wahusika. Si jambo zuri.

Mheshimiwa mmoja akiishiwa kiki zote, anakimbilia kwa mashoga, maana anajua huko kila mtu atamuunga mkono kwa mizuka.

Kuna watu wamedhihakiwa mno kwa jina la makonda, ambao sijui kama kweli ni mashoga. Na hata kama wangekuwa ni mashoga hawakupaswa kumulikwa vile maana waliamua kufanya mambo yao kwa privacy kubwa.
 
Kwa mtu aliyeishi huko ulaya na kwingineko hizi issue za ushoga ni za kawaida sana. Huku kwetu bado linaonekana kuwa ni kituko na maajabu, lakini mind you mambo huanzia kwao sisi huwa ni wa kuiga tu time will tell, haizidi miaka mitano tutajishangaa rulikuwa tunabisha nn!
 
Kuna shule Heaven Of Peace walibeba hizo bendera zenye rangi yakusapot ushoga na usagaji wakakana kuwa hawamaanishi hivyo.
 
Back
Top Bottom