mzeemkavu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 315
- 335
Jana wakati naangalia mechi pendwa ya Liverpool timu tishio kwa wakati huu nilibahatika kumuona manahonda wakiwa wamevaa vitambaa venye rangi ya bendera ya mapenzi ya jinsia moja kwakua mimi sio mpenzi sana wakuangalia mpira kabla ujaanza mimi naweka channel ya mpira dakika tatu au tano mpira umeshaanza, kumbe mpira kabla ujaanza walipeperusha bendera kabisa ya mapenzi ya jinsia moja, kwanza naanza kuamini dalili za kihama ndo hizoo.