Ligi yetu bado sio shindani kwasababu utaona Singida kesho watakavyoiachia Yanga

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu.

Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo hutoa upinzani wa hali juu sana kiasi kwamba mpaka huumiza wachezaji wa SIMBA.

Kesho mtakuja hapa mnipe MAJIBU kuhusu SINGIDA vs YANGA
 
Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu. Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo hutoa upinzani wa hali juu sana kiasi kwamba mpaka huumiza wachezaji wa SIMBA.

Kesho mtakuja hapa mnipe MAJIBU kuhusu SINGIDA vs YANGA
Duh!
 
Timu ya Mkuu hiyo ambayo yeye mwenye ni Simba lialia ukitaka kujua katizame record za Kolo na Namungo na Namungo na Yanga uone yupi aliyepata matokeo mazuri mbele ya Namungo ndio utajua why Namungo akicheza na Yanga madogo wanakaza.

Kama hujua tokea ipande daraja Yanga imefunga Namungo mara moja nyumbani kwake tena msimu uliopita. Husipate tabu kesho mnashinda bila tatizo,nyie matawi yenu Namungo, Coast na Azam ila naona sasa hivi Azam wamebadilika.
 
Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu.

Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo hutoa upinzani wa hali juu sana kiasi kwamba mpaka huumiza wachezaji wa SIMBA.

Kesho mtakuja hapa mnipe MAJIBU kuhusu SINGIDA vs YANGA
Ni kweli kabisa, hilo ni jambo linalorudisha sana nyuma ushindani wa ligi.

Simba hawafuati siasa hizo za kubebwa ndiyo maana timu kama Azam ambayo watu walikuwa wanadai ni tawi la Simba wamechukua point msimu huu ambazo zingetosha kuifanya Simba aongoze ligi sasa hivi.

Kuna Silent Ocean ambao mmiliki wake ni shabiki wa Simba ila mara nyingi Simba ikicheza ametoa dau kwa timu pinzani iifunge Simba.

Kuna timu zingine watu walizihisi zimeibeba Simba ila unashangaa mechi hizo hizo wachezaji muhimu wa Simba wanaumizwa vibaya na wanakaa nje kwa muda mrefu na magoli ya Simba katika mechi hizo hayana chembe yoyote ya kupatikana kwa hila.
 
Makolo mmehamia huko tena?Mwaka huu mtajua hamjui dadekiii
 
Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu.

Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo hutoa upinzani wa hali juu sana kiasi kwamba mpaka huumiza wachezaji wa SIMBA.

Kesho mtakuja hapa mnipe MAJIBU kuhusu SINGIDA vs YANGA
Kuna watu mnaishi kwa mateso sana.
 
Ni kweli kabisa, hilo ni jambo linalorudisha sana nyuma ushindani wa ligi.

Simba hawafuati siasa hizo za kubebwa ndiyo maana timu kama Azam ambayo watu walikuwa wanadai ni tawi la Simba wamechukua point msimu huu ambazo zingetosha kuifanya Simba aongoze ligi sasa hivi.

Kuna Silent Ocean ambao mmiliki wake ni shabiki wa Simba ila mara nyingi Simba ikicheza ametoa dau kwa timu pinzani iifunge Simba.

Kuna timu zingine watu walizihisi zimeibeba Simba ila unashangaa mechi hizo hizo wachezaji muhimu wa Simba wanaumizwa vibaya na wanakaa nje kwa muda mrefu na magoli ya Simba katika mechi hizo hayana chembe yoyote ya kupatikana kwa hila.
Ongea point 4 halafu uone kama lig upo on top
 
Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu.

Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo hutoa upinzani wa hali juu sana kiasi kwamba mpaka huumiza wachezaji wa SIMBA.

Kesho mtakuja hapa mnipe MAJIBU kuhusu SINGIDA vs YANGA
Tuambie mara ya mwisho namungo kumfunga simba ilikuwa mwaka gani? Acha utahaira kutaka kutafuta kichaka cha kuficha mahusiano ya simba na namungo, Mechi ya singida na yanga quality ndiyo itaamua na sio vinginevyo, Unataka singida ndiyo akiepuka kikombe cha ubora wa kikosi cha yanga kwa hoja ipi labda? Ina maana singida wana ubora kuliko timu zote zilizofungwa na yanga kombe la shirikisho mpaka useme wataiachia yanga! Unachekesha sana wewe
 
Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu.

Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo hutoa upinzani wa hali juu sana kiasi kwamba mpaka huumiza wachezaji wa SIMBA.

Kesho mtakuja hapa mnipe MAJIBU kuhusu SINGIDA vs YANGA
Namungo timu ya Majaliwa (Simba)
Singida timu ya Mwigulu (Yanga).
Kawadanganye watoto wenzio huko nursery.
 
Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu.

Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo hutoa upinzani wa hali juu sana kiasi kwamba mpaka huumiza wachezaji wa SIMBA.

Kesho mtakuja hapa mnipe MAJIBU kuhusu SINGIDA vs YANGA

Kuna Namungo hku wamewekewa kikosi cha maveteran na bdo wanafungwa
 
Back
Top Bottom