jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Kwa uongo wako mwanaume mwenzangu kwamba jana Uganda wangefungwa na taifa stars ndo ligue ingekuwa imepanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmezungumzia ubora wa lig na si kukua kwa lig,Soma uz vzr mkuu haraf ndo ucommentKufungwa kwa timu ya ligi nbc inahusikaje? Mi nadhani ligue yetu imekuwa sana na inakua sana vigezo vingi mfano uwekezaji wa timu
Uwekezaji wa wadhamini ambapo wameongezek zaid
Sajir za kimataifa