Mpira wa miguu umechuka nafasi kubwa katika kupanua wigo wa vijana wengi kupata ajira ukihusisha vijana wa kike na vijana wa kiume napa nchini ambapo wengine wamepata nafasi ya kucheza soka nje ya nchi na wengine wamepata nafasi ya kucheza soka ndani ya nchi. mfano oppa Clement.
chanzo ( mtandaoni).
Wamekuwa wakicheza mpira pia na kulipa hadhi taifa kwa ujumla, Tanzania imefaaamika ndani na nje ya nchi, hii ikichagizwa na mchezo wa mpira wa miguu kushiriki kwa vilabu ngazi ya kimataifa mfano klabu ya Simba na klabu ya Yanga na kuzipandisha nafasi ligi kuu ya Tanzania na ni miongoni mwa ligi kumi Bora Afrika. Ufanyaji vizuri na nafasi hiyo katika ligi Bora Afrika katika vilabu umechagizwa na;
Hamasa iliyofanywa na inyoendelea kufanywa na serikali katika kuhamasisha hivi vilabu kufanya vyema kimataifa, mfano serikali imetoa pesa kwa kila goli kwa klabu ya simba na yanga kwa hatua ya robo fainali nusu fainali na fainali ya mashindano ngazi ya kimataifa, kombe la klabu bingwa afrika na shirikisho.
chanzo( mtandaoni).
Uwekezaji mkubwa uliofanyika katika ligi yetu ukihusisha watu binafsi na makampuni tofauti, uwekezaji huo umepelekea klabu nyingi kufanya usajili wa wachezaji tofauti wa Kigeni kutoka mataifa mbalimbali katika soka la hapa Tanzania, na wamekuja na kufanya vizuri zaidi. mfano Saido Ntibazonkiza, Fiston kalala Mayele.
chanzo( mtandaoni).
Pia uboreshaji wa miundombinu ya viwanja na viongozi wa klabu hizi umechagiza katika kuipandisha ligi ya Tanzania katika kuwa miongoni wa ligi kumi Bora Afrika simba chini ya mwekezaji wa Mo dewji, Yanga chini ya mwekezaji wao GSM, wamekuwa ba mikakati ya kuboresha miundombinu ya timu zao, hata na timu nyingine Azam, Fountain Gate FC uwekezaji nanuongozi wao unaenda kulitangaza taifa.
swali la kujiuliza sawa ligi yetu ipo miongoni mwa ligi kumi Bora Afrika ipi nafasi ya timu yetu ya taifa? kwanini tusifanye vizuri kama timu nyingine za mataifa mengine? tunaweza, mfano Brazil, Argentina, Ufaransa, Ubelgiji, Uingereza, Uholanzi, Croatia, Italia, Ureno, Uhispani n.k, tunaweza au hata kama sio kidunia hata Afrika?
chanzo( mtandaoni).
Sababu nyingi zinapelekea timu yetu ya taifa kutokufanya vizuri kimataifa sababu hizi ni kama ifuatavyo;
Changamoto juu ya sheria za kulinda wachezaji wazawa pale pindi timu kama Mtimbwa, Mtibwa, Azam, Yanga n.k, sheria za kulinda wachezaji wetu wa ndani hatuna, mfano kipi kifanyike pale timu hizi zipofanya usajili wa kigeni ambapo wachezaji wengi wanasajiliwa kutoka nje pasipo kulinda vipaji vyetu vya ndani.
Wachezaji wetu wa ndani hawapewi hadhi na thamani pale wakiwa ndani ya timu ya taifa hata baada ya kumaliza maisha yao ya kimpira, mfano kupewa nafasi kama washauri au kuunda bodi ya timu ya taifa. kwahiyo hii inakuwa changamoto kwa timu yetu ya taifa kupiga hatua na kufanya vizuri.
Upungu wa vituo vya kukuza na kundeleza vipaji vya wachezaji, mashindano mengi yanafanyika hapa nchini katika sehemu tofauti mfano ndondo cup, UMISETA, UMITASHUMITA lakini baada ya hapo vipaji vya wanafunzi au wachezaji haviendelezwi ili kutengeneza timu yetu ya taifa ili iwe miongoni mwa timu kumi bora Afrika baadae tukashieiki kombe la Dunia.
na hivi vituo vilivyopo havina ubora mzuri kwahiyo ni jukumu la TFF, serikali, watubinafsi, Mashirika, Mimi na wewe kulipigania soka letu.
Pia suala la uzalendo, wachezaji kupenda timu zao za taifa limekuwa ni changamoto namna ambavyo mchezaji anajituma katika ngazi ya klabu yake ni tofauti na anavyojituma katika timu ya taifa na kupelekea matokeo mabovu ya timu ya taifa, kuna mataifa mengine mchezaji akiimba wimbo wa taifa lake hadi machozi yanamtoka, hata kama sio kutokwa na machozi wachezaji inabidi wajitume kulipambania taifa ni jukumu langu na wewe kuwapa hamasa.
Kipi kifanyike na Sisi kwenye timu ya taifa tuwe na wachezaji wazuri wenye kucheza kama Pele, Diego Maradona, Lionel Messi, Christiano Ronaldo, Yohan Cruyff, Ronald Delima, Zinedine zidane n.k, ili taifa lipige hatua katika mchezo wa mpira.
na inawezekana.
Mosi, kuwepo na sheria ya kulinda wachezaji wazawa pale pindi timu zinapofanya usajili mfano eneo la golikipa, watanzania kuthamini wachezaji wazawa na thamani pale pindi wanaposajiliwa ndani na nje ya nchi, uwekezaji mkubwa ufanyike katika timu ya taifa sio kwa muda mfupi ila muda wote pale timu iwapo kambini au nje ya kambi, mwisho serikali, kwa kuwa hii ni timu ya taifa kwanini serikali isiwe na kituo cha kulea watoto waohusika na mpira tu? si mtu kafanya vizuri UMISETA mfano unamrudisha darasani akachanganue sentensi kwa njia ya matawi, hili suala linarudisha nyuma maendeleo ya mpira wetu, pia ukarabati wa miundombinu ya michezo.

Upvote
0