Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kimataifa ndiyo kipimo sahihi cha simba na yangaNi wazi sasa ligi yetu inazidi kukosa ubora, timu nyingi ukiacha Simba na Yanga, ni zinazidi kuwa dhaifu, angalia tu zinavyocheza mechi za ndani na za kimataifa
Azam imetolewa na timu kibonde kutoka ligi dhaifu ya Ethiopia, Singida ambayo inaonekana ni bora imefungwa na JKU ya Zanzibar..
Watu wasijione wanapiga vibonde goli nyingi wakajisifu, kimataifa wataishia tena raundi ya pili
ujumbe ulikuwa ni huu apa ila ukaamua uzunguke kama JKT mwisho wa siku anafungwa JKT wanaumia wekundu.Watu wasijione wanapiga vibonde goli nyingi wakajisifu, kimataifa wataishia tena raundi ya pili
Kameze wembe ili upunguze maumivu maana maumivu uliyonayo sidhani kama utapata usingizi leoNi wazi sasa ligi yetu inazidi kukosa ubora, timu nyingi ukiacha Simba na Yanga, ni zinazidi kuwa dhaifu, angalia tu zinavyocheza mechi za ndani na za kimataifa
Azam imetolewa na timu kibonde kutoka ligi dhaifu ya Ethiopia, Singida ambayo inaonekana ni bora imefungwa na JKU ya Zanzibar..
TAHADHARI: Watu wasijione wanapiga vibonde goli nyingi wakajisifu, kimataifa wanaweza kuishia tena raundi ya pili
Nakuunga mkono, bado tuna safari ndefuNi wazi sasa ligi yetu inazidi kukosa ubora, timu nyingi ukiacha Simba na Yanga, ni zinazidi kuwa dhaifu, angalia tu zinavyocheza mechi za ndani na za kimataifa
Azam imetolewa na timu kibonde kutoka ligi dhaifu ya Ethiopia, Singida ambayo inaonekana ni bora imefungwa na JKU ya Zanzibar..
TAHADHARI: Watu wasijione wanapiga vibonde goli nyingi wakajisifu, kimataifa wanaweza kuishia tena raundi ya pili
Iwe mikia ndio wamempiga 5. Ingekuwa ligi bora na timu iliyopigwa 5 imezidiwa tu mbinuNi wazi sasa ligi yetu inazidi kukosa ubora, timu nyingi ukiacha Simba na Yanga, ni zinazidi kuwa dhaifu, angalia tu zinavyocheza mechi za ndani na za kimataifa
Azam imetolewa na timu kibonde kutoka ligi dhaifu ya Ethiopia, Singida ambayo inaonekana ni bora imefungwa na JKU ya Zanzibar..
TAHADHARI: Watu wasijione wanapiga vibonde goli nyingi wakajisifu, kimataifa wanaweza kuishia tena raundi ya pili
Ni wazi sasa ligi yetu inazidi kukosa ubora,