Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ni wazi sasa ligi yetu inazidi kukosa ubora, timu nyingi ukiacha Simba na Yanga, ni zinazidi kuwa dhaifu, angalia tu zinavyocheza mechi za ndani na za kimataifa.
Azam imetolewa na timu kibonde kutoka ligi dhaifu ya Ethiopia, Singida ambayo inaonekana ni bora imefungwa na JKU ya Zanzibar.
Watu wasijione wanapiga vibonde goli nyingi wakajisifu, kimataifa wanaweza kuishia tena raundi ya pili