Ligi yetu inazidi kupungua ubora kila mwaka. Timu dhaifu, hakuna ushindani

Pole sana, mlifurahi na kufanya sherehe Prof Nabi alipoondoka. Sasa kwa huyu Muargentina mtatamani Nabi arudi.
 
Nitakuelewa ukiniambia ligi inashuka ubora ksbb ya timu fulani kuandaliwa mazingira.
.
Ona Ngao ya jamii Singida walipiga boli na magoli yalifungwa matatu yote yakazimwa (wasingefunga mngesema goli gani wamefunga zikakataliwa?) Wakatolewa kwa matuta.

Ikaja final goli zikafungwa zikazimwa wazi wazi(labda zisingefungwa mngesema goli gani zilizozimwa?). Wakamtengenezea hata kibahati bahati. Ndani ya dakika 90 boli linasukumwa na wananchi, karia alikuwa mdogo.
 
A
Aahaaaaa,roho inakuumaaa mamaee
 
Simba walibebwa wazi wazi
 
Yanga ina miaka 25 haijawahi kufikia hatua ya makundi club bingwa...

Kama Caf wanasema Yanga ni bora kwa nini wameanza round ya kwanza kwenye CAF CL?
Yanga ni mbovu limataifa,
Ila mwaka huu anaweza futa uteja huo Kwa kuwatoa wale wa Sudani,acha tuone
 
Waingereza wanaita “farmers league”
 
Ukweli usemwe yanga kwa mechi hizi chache wameupiga sana , boli linatembea haswa kila mchezaji anautaka mchezo , hongereni sana yanga kwa mechi hizi za hivi karibuni mnaupiga mwingi. "Simba damu"
 
Timu kufungwa goli tano ni kawaida ndio mpira ulivyo tangia zamani.
Au nasema urongo yakheee,,!😂😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…